Hili ndio jibu.Vijana tunaogopa kuuziwa mbuzi Kwenye guniaa maana unakutana na Binti ana miaka 27 Toka akiwa na miaka 18 kashajua aina za d*d* tofauti na hapo kati kashachomoa mimba kama 2 hv .hvyo hakuna budi kijana akikutana naye atest mitambo yake naye ipo au ndio zile mimba Binti alitoa ziliondoka na kizazii[emoji23]
Bora kwenda vip akizaliwa Mtoto wa kichina na wewe ni black american from Mtwara.Na vipi akizaa mtoto akaenda utaoa mwingine hizirohoo chafuu
Waolewaji wana wasiwasi sana na wanaume, wanaume wengi ni mashoga kwahiyo wanawake wanajaribisha kama wanaume zao wanawea tungisha mimba.Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu
Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3
Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency
Mwingine jumamosi iliopita huyu afadhali kitambi kilikuwa si kikubwa sana
Mwingine huuu dah mpaka nilikuwa naogopa kumwangalia mwili mkubwa na mbele ana exp wiki kadhaa kjjifungua dah
Sijajua nini shida kwani kuolewa lazima mpeane maimba kwanza??
Unajua mtoto n wa Mungu..unaweza zini ukiona Mimbaa unaazimisha ndoa..baada ya ndoa akachukua chake
MUNGU Akusaidie ukaolewe ukiwa safi bila Mimba ukaheshimikee milleleee
Amen
Ndgu hyo sababu unaiona Ni ndogo kuachwa ukiona amekuvumilia Ni huruma yakeSema hii dhana ya 'kutest mitambo' naona kama ni mbaya, possibility zote mbili(anaweza apate mimba, au asipate) tayari unazijua,
Kwanini uje utest mitambo kama kigezo cha kuoa, ina maana tokea mmekutana mpaka mkakubaliana kuwa wapenzi mlipendeana nini?
Au wewe mwanaume chukulia mwanamke anakuacha kwasababu huwezi zalisha, kwa sababu hiyo tu. Ni vizuri?
Kupata mimba inapaswa iwe matokeo tu ya kushtukiza....
Unampiga super black mwili mzima maisha yanaendelea!!Bora kwenda vip akizaliwa Mtoto wa kichina na wewe ni black american from Mtwara.