GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu.
Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu.
Ila nimegundua pia kuwa 99.9% ya Ndoa ambazo Wanandoa Wamependana tu Wenyewe Vichochoroni (ziitwazo Nimempenda MImi) hazidumu na ndiyo zinaongoza kwa Migogoro na Mitafaruku 24/7.
Shikamooni sana Wazee wa Zamani.