GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
umenena kibabe sanaKwanza wazee wetu walikuwa na utii kwa wazazi wao,pili wengi walikutaanza wakiwa wanaanza mambo hayo.Sio siku hizi kabla ya kuingia kwenye ndoa...
Afadhali tujadili mapenzi sasa, Ile jezi ya Yanga ni Kali sana aiseee.....Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu....
Ukweli mtupu...masshimo na marungu ya wahusika ndio tatizo.Kwanza wazee wetu walikuwa na utii kwa wazazi wao,pili wengi walikutaanza wakiwa wanaanza mambo hayo.Sio siku hizi kabla ya kuingia kwenye ndoa..
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwanza wazee wetu walikuwa na utii kwa wazazi wao,pili wengi walikutana wakiwa wanaanza mambo hayo.Sio siku hizi kabla ya kuingia kwenye ndoa, rungu limegonga K za aina mbali,limevuruga mashimo ya aina mbalimabalu,ukija K sasa ishapitisha marungu ya aina mbalimbali.
Wakikutana kwenye ndoa mgogoro kidogo mwanamke anaanza kuyakumbuka marungu yake,huku mwanaume akikumbuka mashimo yake,wanasahahu hata kutatua changamoto zao binafsi.