Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

Mleta mada wahusika wa kuinyonga Chadema sio wananchi kama unavyojaribu kutuaminisha BALI dola. Na hili sio kwa Chadema pekee, kila chama kilichojaribu kutoa upinzani mkali kwa CCM kilipitia ukandamizaji kutoka vyombo vya dooa...NCCR, CUF na Chadema. Nakukumbusha kuwa ni Wakurugenzi wa Halmashauri ambao mwendazake aliwaonya hadharani kuwa wasithubutu kumtangaza mpinzani kushinda....

Angalia kazi za Sabaya, Makonda and the like, wapinzani wanawezaje kushinda? Angalia jinsi Wakurugenzi wa Halmashauri walivyokuwa wanatoweka maofisini siku wapinzani wanarejesha fomu za kugombea hadi inatokea mgombea wa CCM anapita bila kupingwa, hapo wananchi wanahusikaje? Nina mengi sana ya kusema lkn nimegundua wewe sio mwanademokrasia hali mdau wa watawala na chama tawala.

Maana yake ni kuwa kwa mfumo wetu wa utawala hakuna chama cha upinzani kinachoweza kutwaa dola.

Vv
 
Dola ndio iliwaibia 20bl za ruzuku mkashindwa kujenga hata vitega uchumi?
 
Upinzani ambao hauadress matatizo ya wananchi, ambao hauweki mbele maslahi ya wananchi hauwezi kudumu.
 
Endeleeni kujifurahisha kama mnajiamini wekeni tume huru hata kesho tupige mechi kwenye Jimbo mtakalotaka kampeni tufanye wiki moja tu kisha uchaguzi ufanyike. Tahira wewe
 
Utahira ni pale majizi ccm yanapotangaza chadema imekufa halafu hayohayo yanatumia polisi kuwazuia chadema kufanya chochote hata kufanya mazoezi tu hapana. Lakini Leo cheyo na mrema walitoka kufanya mazoezi na wanachana wap hakuna tatzo subiri watoke bawacha sasa.
 
CHADEMA kwishaaaa
 
Polis amkamate Nani? CHADEMA umebaki wewe na Mbowe tu
 
Haya serikali ya walala hoi,, ipo siku tuta saga meno wote mliopo mnafaidi nation cake,, kwa njia isiyo halali
 
Chadema waendelee kusubiri

Znz na ubishi wote wa Wapemba wamenyoosha Mikono
 
Na wanavyoendelea kupambana na hayati Magufuli ndio wanazidi kujimaliza kabisa
Huo ndiyo upuuzi ulio kiua chadema walikuwa wanapinga hadi roho ya UZALENDO kwa kuwatetea wazungu mafisadi wa madini yetu
 
Chadema kwishaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…