Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Uharo ni pamoja na hiki ulichoandikaUharo gani kazi mliyobaki nayo ni matusi tu hamna agenda yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uharo ni pamoja na hiki ulichoandikaUharo gani kazi mliyobaki nayo ni matusi tu hamna agenda yoyote
Uharo ni pamoja na hiki ulichoandika
Ndiyo hivyo.CHADEMA naona umebaki peke yako humu
Dola ndio iliwaibia 20bl za ruzuku mkashindwa kujenga hata vitega uchumi?Mleta mada wahusika wa kuinyonga Chadema sio wananchi kama unavyojaribu kutuaminisha BALI dola. Na hili sio kwa Chadema pekee, kila chama kilichojaribu kutoa upinzani mkali kwa CCM kilipitia ukandamizaji kutoka vyombo vya dooa...NCCR, CUF na Chadema. Nakukumbusha kuwa ni Wakurugenzi wa Halmashauri ambao mwendazake aliwaonya hadharani kuwa wasithubutu kumtangaza mpinzani kushinda....
Angalia kazi za Sabaya, Makonda and the like, wapinzani wanawezaje kushinda? Angalia jinsi Wakurugenzi wa Halmashauri walivyokuwa wanatoweka maofisini siku wapinzani wanarejesha fomu za kugombea hadi inatokea mgombea wa CCM anapita bila kupingwa, hapo wananchi wanahusikaje? Nina mengi sana ya kusema lkn nimegundua wewe sio mwanademokrasia hali mdau wa watawala na chama tawala.
Maana yake ni kuwa kwa mfumo wetu wa utawala hakuna chama cha upinzani kinachoweza kutwaa dola.
Vv
Ama kwa hakikaUpinzani ambao hauadress matatizo ya wananchi, ambao hauweki mbele maslahi ya wananchi hauwezi kudumu.
CHADEMA kwishaaaaAmani iwe nanyi wanaJf,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi hali hii ilishawahi kuvikumba vyama vya National Convention for Constitutional Reform ( NCCR -Mageuzi ) baada ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 na baadae Chama cha Civic United Front ( CUF ) baada ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 mpaka naandika makala hii kamwe si NCCR -Mageuzi wala CUF iliyowahi kuinuka baada ya kufa kijenotyipia,
===
Chadema mara baada ya kubadili malengo yake kutoka kuwa chama cha kusimamia masilahi ya wananchi mpaka Chama cha kutafutia nafuu ya maisha kwa viongozi wake wa juu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kikongwe nchini chenye zaidi ya miaka thelathini ( 30 ) sasa,
===
Vyama vyote hivi tangu NCCR -Mageuzi,CUF na sasa Chadema sababu ya vifo vyao ni ileile ya mgawanyo usio sawia wa keki za Chama wala sio ccm-tanzania kama wanavyowaaminisha wananchi na Ushahidi mkubwa ni huu vyama vyote vitatu pamoja na kupata mabilioni ya Shilingi toka kwenye ruzuku na michango mbalimbali ya wanachama na wahisani bado havijawahi kuwa na mali zao zisizohamishika ( mfano, ofisi za kisasa za Chama ) kuonesha kuwa maisha ya vyama hivyo si ya muda mrefu ( temporary Polical Parties )
===
Unapoona Halima Mdee na wenzake 18 wanakimbilia keki ya Chama kwa mbio kali kumzidi Freeman Mbowe au John Heche ni ushahidi mwingine kuwa Chadema ilishaondoka kuwa chama aminiwa kwa masilahi ya Watanzania mpaka Chama cha kucheza kidali Poo kwenye fursa na pesa,
===
Zoezi la " Chadema Digital " limewadhihirishia pasina kuacha shaka Viongozi na Wanachama kuwa Chama chao kimeshakufa rasmi reffence is made to Shinyanga -Kahama and Msalala wanachama waliosajiliwa kidijitali kwa majimbo yote mawili hawakufikia wanachama miambili ( 200 ), Watanzania ni watu makini sana kuliko Chadema mnavyofikiria,
===
....Nisiwachoshe nitaendelea kidogo kidogo mpaka Part 10...... ila kwa hatua ya Sasa wanaotaka siasa au nafasi za kisiasa kama Ubunge|Udiwani au Uenyekit wa vijiji,mitaa na vitongoji waende CCM-Tanzania ndio chama kinachoweza kulea vipaji na vipawa vya mwanasiasa yeyote awaye,
View attachment 2003106
Polis amkamate Nani? CHADEMA umebaki wewe na Mbowe tuUtahira ni pale majizi ccm yanapotangaza chadema imekufa halafu hayohayo yanatumia polisi kuwazuia chadema kufanya chochote hata kufanya mazoezi tu hapana. Lakini Leo cheyo na mrema walitoka kufanya mazoezi na wanachana wap hakuna tatzo subiri watoke bawacha sasa.
NikweliChadema ni chama kilichojizatiti kuwa cha kikaskazini hususani WACHAGA, hata wamasai hawana sauti ndo maana hakina mvuto kitaifa
Hiki ni chama cha WACHAGA
Yaani ChagaDema
Wamekwisha kabisa hawaNa wanavyoendelea kupambana na hayati Magufuli ndio wanazidi kujimaliza kabisa
Huo ndiyo upuuzi ulio kiua chadema walikuwa wanapinga hadi roho ya UZALENDO kwa kuwatetea wazungu mafisadi wa madini yetuNa wanavyoendelea kupambana na hayati Magufuli ndio wanazidi kujimaliza kabisa
Chadema kwishaaa,Amani iwe nanyi wanaJf,