Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka mara moja Samia kufika kwenye kamati ya kudumu ya kinga na haki za bunge ili kujieleza na kuchukuliwa hatua stahiki.

Kwa lengo la kulinda heshima na mamlaka ya bunge tukufu, jambo hili linapaswa kufanyika mara moja bila kusubiri. Sheria ni msumeno, kuwa rais sio kikwazo cha kukwepa kuitwa kwenye kamati hiyo. Mimi na watanzania wengine tutashangaa sana kama Ndugai atashindwa kufanya hivyo au atachelewa kufanya hivyo wakati jambo hilo ni genuine na liko ndani ya uwezo wake kikatiba kwa 100%.
 
Napita nitarudi baadae.
 
Ati Nini?
Una wazimu wewe kumbip Zarail mtoa roho atii,
Usimchezee chatuuu🎵🎶
Oooh chatu eeeeeee🎶
Tena usimbinue ukaukosa ushindi🎶🎵

Usimtafutie kiama kimbunga Jobo Mzee wa Galilaya ebooo!
😂😂😂😅😂
 
Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka mara moja Samia kufika kwenye kamati ya kudumu ya kinga na haki za bunge ili kujieleza na kuchukuliwa hatua stahiki.

Kwa lengo la kulinda heshima na mamlaka ya bunge tukufu, jambo hili linapaswa kufanyika mara moja bila kusubiri. Sheria ni msumeno, kuwa rais sio kikwazo cha kukwepa kuitwa kwenye kamati hiyo. Mimi na watanzania wengine tutashangaa sana kama Ndugai atashindwa kufanya hivyo au atachelewa kufanya hivyo wakati jambo hilo ni genuine na liko ndani ya uwezo wake kikatiba kwa 100%.
Labda aichapishe barua yeye mwenyewe na atumme mtandaoni kwanza.
 
Huwezi kushindana na mwanamke wa pwanj,maneno tu unazimia je akilivunja bunge,nani atamtibu zile fangasi zake za ubongo
 
".....kasome katiba vizuri kuna muhimili mmoja umejichimbia zaidi ya hiyo mingine....." Mwisho wa kunukuu
 
Ndungai lini alikuwa na heshima?
Ndungai lini alikuwa anajua maana ya hadhi na heshima ya kiti?
Au siku Ile aliposema 'Magufuli atake asitake watabadilisha katiba aendelee?"
 
Kwani yeye wakati anaponda jitihada za Rais aliongea akiwa bungeni? Na hata hivyo kwa hadhi ya Rais hiko kitu ni dhahania tuu.
 
Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka mara moja Samia kufika kwenye kamati ya kudumu ya kinga na haki za bunge ili kujieleza na kuchukuliwa hatua stahiki.

Kwa lengo la kulinda heshima na mamlaka ya bunge tukufu, jambo hili linapaswa kufanyika mara moja bila kusubiri. Sheria ni msumeno, kuwa rais sio kikwazo cha kukwepa kuitwa kwenye kamati hiyo. Mimi na watanzania wengine tutashangaa sana kama Ndugai atashindwa kufanya hivyo au atachelewa kufanya hivyo wakati jambo hilo ni genuine na liko ndani ya uwezo wake kikatiba kwa 100%.
Afanye hivyo kwa faida ya nani mkuu? Hakuna anayetaka misuguano na migongano isiyo na tija. Tuombe amani badala ya kutunishiana misuli
 
Ndugu mimi nimekuelewa sana! . Tatizo kubwa la nchi hii ni mpango wa kuwaondoa viongozi wote wenye mawazo ya kizalendo ya kuipeleka hii nchi mbele kwa manufaa ya watu wote bila kuwapigia magoti wazungu. Mama ajue mabavu na ubabe wa kutuliazimisha kwenda njia hiyo kwa sababu tu ya tamaa ya hela haitafanikiwa. Ajitafakari na aongoze kwa haki bila U-sehemu, U-dini, Kisasi, Majungu na U-dikteta. Watu waachwe waongee yeye afanye kazi yake. Asitulazimishe tukapiga magoti...
 
Back
Top Bottom