Kwanini NECTA haitangazi matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili!?

Kwanini NECTA haitangazi matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili!?

Wako busy Wanaboost mikoa ile aliyotoka Mheshimiwa isiwe ya mwisho mwisho
 
Leo saa nne asubuhi matokeo yanatangazwa
IMG-20220115-WA0000.jpg
 
Zamani ya kidato Cha nne ilikuwa mwezi wa nne ndiyo yanatoka

Naona siku hizi wanamashine zakupika fasta
 
Back
Top Bottom