Kwanini nembo ya kenya ina picha ya madume ya simba mawili tu

Kwanini nembo ya kenya ina picha ya madume ya simba mawili tu

Nchi ya watu wa inferiority complex hadi mwanamke anavaa wig kwenye Coat of Arms?
Hahaha hilo sio wig

Hicho ni kitambaa au kilemba cha dhahabu reflects Tanzania's minerals resourcefulness

Na hizo whiten spots kwenye kichwa cha mwanamume reflects wisdom ni kama mvi kwa mzee

Uwe unauliza
zrVHttOw27RgijQJr2Gu4OazTL6hQAuTe1JouBBMBYJkEewD_D8ZBGn1NRxmpSn5Q4370cMWLBmFDOHJDgnQkfk9Wc1QQwElYZjQJZQUI7n8fDJ3hQ3PRvpPx-FBBoiEhvYl9dK_3xzcXR6ix89Fe0K5oRo3c6X63aOB7utjTX6WaZscWtno9s6I3t1X93WIRpsy07E=w356-h413-nc
 
Hehehe hapo umewakamata freshi, mwanaume aliyevaa marinda kwenye nembo ya taifa ni aibu iliyojee. Kafumuliwa...
Sijasema mimi wewe ndio umesema. [emoji38] Man, I just threw you under the 'mbass'! 😀 Alafu mbona mwanamke mwenyewe hana wowowo? Sinaga hamu kabisa na maflat screen! 😀
 
Sijasema mimi wewe ndio umesema. [emoji38] Man, I just threw you under the 'mbass'! 😀 Alafu mbona mwanamke mwenyewe hana wowowo? Sinaga hamu kabisa na maflat screen! 😀
Unawaza uzinzi tu muda wote
 
Kwa maoni yangu naona kama hamkuwatendea haki wakinamama na wadada wa Kenya, mimi nashauri muweke Picha ya Simba dume na jike ili kuweka usawa, lakini pia kusema kuwa alama ya mikiku miwili inaonyesha kabila la wamasai pia sio sawa kwa maoni yangu nashauri mgesema mikuki miwili ni kuwakilisha makabila yote ya Kenya, naomba tujadiliane kwa upendo na amani

Nembo ya Kenya - Wikipedia, kamusi elezo huru
emblem.jpg

Mbona hapa kuna kina mama wawili....aha ha
 
Nembo yetu inajieleza, lakini mpaka uwe mtanzania ndio utaielewa. Kwanza mke na mume, ndio kiilelezo halisi cha jamii ya watu wa nchi hii, sio misimba miwili midume huku mnasema hilo swala hakuna umuhimu kwetu. Duh ni unafiki wa kiwango cha lami.

Pembe za ndovu au tembo ishara yanyama , shoka na nyundo pamoja na rangi nyekundu inawakilisha jeshi letu. Mazao ya biashara na chakula yako hapo chini. Mwenge ni kuangazia dunia uhuru wetu. Maneno chini, sisi ni huru na tuko pamoja.
Maneno kuntu. wakenya wanabaki midomo wazi. Yaani nashingaa sana. Nchi ya kenya inawekewa nembo za wanyama!!
 
Maneno kuntu. wakenya wanabaki midomo wazi. Yaani nashingaa sana. Nchi ya kenya inawekewa nembo za wanyama!!
Mzungu akiangalia Afrika anaona wanyama tuu, na wenzetu wameona wanyama ndio kielelezo tosha cha kutafsiri nchi ya Kenya.
 
Mzungu akiangalia Afrika anaona wanyama tuu, na wenzetu wameona wanyama ndio kielelezo tosha cha kutafsiri nchi ya Kenya.
Yani wakenya huwa wananichekesha kabisa.
Sijua kati ya hii ya mashetani:-
coat-of-arms-of-kenya-logo-90AC9A3AC8-seeklogo.com.png

Na hii hapa ya wanyama
government-of-kenya-logo-77AF616AE1-seeklogo.com.png

Ipi nembo ya kenya?
 
Halafu mbendera zenye alama alama na michoro always ni kwa weak nation
Hii hapa ya kenya
kelarge.gif

Tanzania
maxresdefault.jpg

France
fr.png

Russia
20120812153730%21Flag_of_Russia.svg

UK
1280px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png

German
1280px-Flag_of_Germany.svg.png

Very simple flag. Lakini Bendera ya wakenya very complicated na ni ya kishamba.
 
government-of-kenya-logo-77AF616AE1-seeklogo.com.png

Nembo yenyewe ndio hii!
Yaani hamna mirangi rangi ya ajabu ajabu wala shoka mbili, sijui ya kukatia miti na ingine ya kutoa watu roho, mara sijui jike na dume. Cheki kucha za simba, yaani unaona kabisa ndio wametoka kuua na kula nyumbu wa kitanzania! [emoji38] Mungu ibariki nchi yangu tukufu ya Kenya!!!
 
Halafu mbendera zenye alama alama na michoro always ni kwa weak nation
Hii hapa ya kenya
kelarge.gif

Tanzania
maxresdefault.jpg

France
fr.png

Russia
20120812153730%21Flag_of_Russia.svg

UK
1280px-Flag_of_the_United_Kingdom.svg.png

German
1280px-Flag_of_Germany.svg.png

Very simple flag. Lakini Bendera ya wakenya very complicated na ni ya kishamba.
Bendera ya Kenya ipo kama ya mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom