Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Wakenya mbona hamji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema walahi! [emoji38] Hahaha! I give up! Akili yako ipo very slow!Acha mchecheto. South Sudan hii hapa:-
Haya ni mambo ambayo kila mkenya huwa anafunzwa kwenye shule ya msingi. Tena kutoka shule ya chekechea. Lakini kama nilivokueleza, huwa sifanyi kazi ya kupuliza gunia. Kama unaleta ubishi kuhusu nembo yenyewe, eti sijui ni ipi? Sasa maana ya kila kitu kwenye nembo yenyewe siujitafutie mwenyewe? 😎😎😎Vijana wa kenya hamna uelewa kuhusu nchi yenu. Mmekalia wizi tu.
Sasa kwanini usilete maelezo hapa?Haya ni mambo ambayo kila mkenya huwa anafunzwa kwenye shule ya msingi. Tena kutoka shule ya chekechea. Lakini kama nilivokueleza, huwa sifanyi kazi ya kupuliza gunia. Kama unaleta ubishi kuhusu nembo yenyewe, eti sijui ni ipi? Sasa maana ya kila kitu kwenye nembo yenyewe siujitafutie mwenyewe? 😎😎😎
Yafate ulipotoa nembo yako uchwara. Ila kama sio kwa unafik, maelezo yote utayapata hata wikipedia. Mimi niko busy na kamchepuko fulani hapa.Sasa kwanini usilete maelezo hapa?
Wapi huko jombaa? Kuna party? 🙂Wakenya mbona hamji?
Hujui rafiki yangu. Acha mchecheto.Yafate ulipotoa nembo yako uchwara. Ila kama sio kwa unafik, maelezo yote utayapata hata wikipedia. Mimi niko busy na kamchepuko fulani hapa.
Majibu na Kilicho ulizwa Mbali mbali
Hovyo kabisa!!
Usihamishe mada. Unajua maana ya marinda au unaropoka tu?Ni muhimu mkajibu mbona ya kwenu ina mwanaume aliyevaa marinda.
Sawa.Hujui rafiki yangu. Acha mchecheto.
Most sane words in this thread. Apparently you are not a mumu after all! 🙂Hata wangewekwa ngamia na vyungu bado ungeuliza,..mambo mengine ni kuyaacha tu kama yalivyo.
Ntafsirie bathiiii[emoji85][emoji85][emoji85]Most sane words in this thread. Apparently you are not a mumu after all! 🙂
Kwani hiyo ni sketi? Mababu zetu zamani walikuwa wakivaa sketi wewe?Sisi kwenye nembo yetu hamna mwanaume aliyevaa sketi. 😀
Tulia mkuu, ni utani tu.Kwani hiyo ni sketi? Mababu zetu zamani walikuwa wakivaa sketi wewe?
Hahaha! 😀 Tafsiri yake ni kwamba nimekupenda bure! [emoji7][emoji8][emoji7]Ntafsirie bathiiii[emoji85][emoji85][emoji85]
![]()
Nembo yenyewe ndio hii!
Yaani hamna mirangi rangi ya ajabu ajabu wala shoka mbili, sijui ya kukatia miti na ingine ya kutoa watu roho, mara sijui jike na dume. Cheki kucha za simba, yaani unaona kabisa ndio wametoka kuua na kula nyumbu wa kitanzania! [emoji38] Mungu ibariki nchi yangu tukufu ya Kenya!!!
Most awesome and unique flag!Hii hapa ya kenya
![]()
Huyo jogoo aliyeshika shoka anamaanisha nini?