Kwanini nembo ya kenya ina picha ya madume ya simba mawili tu

Vijana wa kenya hamna uelewa kuhusu nchi yenu. Mmekalia wizi tu.
Haya ni mambo ambayo kila mkenya huwa anafunzwa kwenye shule ya msingi. Tena kutoka shule ya chekechea. Lakini kama nilivokueleza, huwa sifanyi kazi ya kupuliza gunia. Kama unaleta ubishi kuhusu nembo yenyewe, eti sijui ni ipi? Sasa maana ya kila kitu kwenye nembo yenyewe siujitafutie mwenyewe? 😎😎😎
 
Sasa kwanini usilete maelezo hapa?
 
Sasa kwanini usilete maelezo hapa?
Yafate ulipotoa nembo yako uchwara. Ila kama sio kwa unafik, maelezo yote utayapata hata wikipedia. Mimi niko busy na kamchepuko fulani hapa.
 
Yafate ulipotoa nembo yako uchwara. Ila kama sio kwa unafik, maelezo yote utayapata hata wikipedia. Mimi niko busy na kamchepuko fulani hapa.
Hujui rafiki yangu. Acha mchecheto.
 

Huyo jogoo aliyeshika kishoka anamaanisha nini?
 
Hii hapa ya kenya
Most awesome and unique flag!
Hii hapa ndio bendera ya Kenya. Itazame vizuri, angalia ilivyo tofauti na ile ambayo uliieka wewe, hapo juu. Hizo strip za Black, Red, Green zinafaa ziwe size moja. Hiyo bendera ulioiweka hapo ile ngao na mikuki ni mifupi pia. Kuna sheria bana kuhusu size, dimensions na shade ya rangi sahihi ya bendera ya Kenya. Sio unaokota tu upuuzi tu mitandaoni kisha unakuja kusambazia wasiojua! Mbona hujaeka bendera ya Tz ambayo imechorwa na wanafunzi wa shule ya chekechea? Kihii kikubwa wewe!
 

Ukimtizama huyo jogoo, utaona yupo in motion, it signifies Authority, Will to work hard, Success and the break of a new dawn. Hii ndio nembo sahihi ya Kenya achana na huo utoto wa huyo falashtuka Annael.
Huyo jogoo aliyeshika shoka anamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…