Kwanini Ney hawasemi Clouds Media

Mbona hajamchana yule mwanamke aliyemwambia mtoto si wake? Au ndio kinyozi hajinyoi?
 
yaani wasanii wetu bongo njaa kweli, kila msanii nyimbo akazindulie mawingu, big alikiba na platnumz
 
Ni pale tu bangi ilipo shuka bei! Hata wale waliokuwa hawana uwezo wa kuinunua sasa hivi wananunua!!! mwangalieni mleta mada
 
kote huko mbali Nikki Mbishi alimtungia mpaka wimbo Neema Wa Mitego lakini mpaka leo Ney hajawahi kumchana Nikki
 
Ni pale tu bangi ilipo shuka bei! Hata wale waliokuwa hawana uwezo wa kuinunua sasa hivi wananunua!!! mwangalieni mleta mada
Sawa, unataka nikununulie nawewe?
 
Siku akimchana kiba, nadhani kiba ataishia kusema "inshallah"
 
usimpangie ye anawachana anopoona inafa.....ndio maana akawa Ney True Boy wa kuchana live
 
Ukiona mtu anamchukia nay basi ujue lazima amemgusa
 
Kweli aysee...na dawa yake nyingine ni nick mbish nyau huyo
 
Huyu Ney ndo yule aliyesema alipoenda TRA kulipia Bima magari yake alikuta hakuna longolongo kama zamani?
Wasanii wa Bongo banaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…