Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Mbona hajamchana yule mwanamke aliyemwambia mtoto si wake? Au ndio kinyozi hajinyoi?Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake.
Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM' tuone Kama career yake haijaishia hapo hapo. Sio kila siku kuonea 'vidagaa tu', watu wa bongomuvi na wana Bongofleva wenzake.
Fanya Kama alivyofanya Sugu kwenye Antivirus halafu tuone kama utaendelea kuuza sura mjini hapa.