Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Nadhani utakuwa si mfugaji mbobezi.Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
Kabla ya kumkamua hakikisha unajipakaa mafuta kwanza sio unamkamua kavu kavu utamchubua mkuu umeelewa lakini?Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
Ng'ombe anajua maziwa ni ya ndama, sasa anaapokuona baba mwenye mandevu yako komavu unajidai ndama, hapo ndipo anapo changanyikiwaNaombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
mbona akikamuliwa na mtu mwingne,hata awe mgeni hafanyi hvyo?Nadhani utakuwa si mfugaji mbobezi.
Ng'ombe wengine huwa wanamjua yupi mwenye uhalali wa kuwakamua maziwa la sivyo tofauti na hapo hutathubutu hata kuwasogelea watavyokuchangamkia kukupiga mapembe.
Ng'ombe hafichi maziwa isipokuwa inategemea unamzoeza vipi hadi kufikia hatua aelewe kukamuliwa maziwa ni kawaida kwake.
vilainishi vipo, wala sidhani kama ndilo tatizoKabla ya kumkamua hakikisha unajipakaa mafuta kwanza sio unamkamua kavu kavu utamchubua mkuu umeelewa lakini?
rafiki yangu comments zako znajikita sana kwenye jokes![emoji3]Ng'ombe anajua maziwa ni ya ndama, sasa anaapokuona baba mwenye mandevu yako komavu unajidai ndama, hapo ndipo anapo changanyikiwa
Umeiona avatar yangu?rafiki yangu comments zako znajikita sana kwenye jokes![emoji3]
ngoja niioneUmeiona avatar yangu?
Wewe ulishawahi kugawa chakula chako kwa majirani!?[emoji848][emoji2827]Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
Swali zuri sana la muda woteWewe ulishawahi kugawa chakula chako kwa majirani!?[emoji848][emoji2827]
Nilishakukataza utoto huo please! Utakua lini bujibuji?Ng'ombe anajua maziwa ni ya ndama, sasa anaapokuona baba mwenye mandevu yako komavu unajidai ndama, hapo ndipo anapo changanyikiwa
Ng'ombe siyo binadamu! Kuna jibu zuri tu Ila kwa vile humu bujibuji analeta mzaha ngoja niacheWewe ulishawahi kugawa chakula chako kwa majirani!?[emoji848][emoji2827]
Maswali ya kitoto yanahitaji majibu ya kitoto. Tukiendekeza watu kutoshirikisha akili zao vyema, matokeo yake tutakuwa na taifa la ajabu kabisa.Nilishakukataza utoto huo please! Utakua lini bujibuji?
Mkuu ni kweli kuwa Ng'ombe anaweza kuamua kuficha maziwa hadi pale atakapoona baadhi kama siyo yote, mahitaji yake muhimu amepatiwaNaombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
masihara tena!Wewe ulishawahi kugawa chakula chako kwa majirani!?[emoji848][emoji2827]
maji vuguvugu natumia. Iko hivi: mwanzo maziwa yanatoka vizuri lakini baada ya dk 2 yanakata! akikamua dogo anaewalisha anapata mara tatu ya yale ninayokamua mimi[emoji848]Tumia maji ya Moto yenye uvuguvugu
Then leta feedback