Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
- Thread starter
-
- #21
tatizo linapoanzia ni pale unapotaka kuchangia kwenye kila uzi!Maswali ya kitoto yanahitaji majibu ya kitoto. Tukiendekeza watu kutoshirikisha akili zao vyema, matokeo yake tutakuwa na taifa la ajabu kabisa.
Ninapenda ifike wakati, JF pawe ni sehemu ya kuuliza maswali ambayo umeshindwa kuyapata sehemu yoyote ile. Umetafuta Google umekosa, umetafuta mtaani kwako umekosa, sasa ndipo unakuja kuuliza hapa.
Ndugu yangu ninaye kupenda sana Retired, nakuahidi, sitaacha kuwajibu watu wanaouliza maswali ya kijinga ipasavyo.
Naamini umenielewa. Asante.
[emoji848]Mtafutie chakula,wakati wa kumkamua mpatie awe anakula ili asahau kubana maziwa
[emoji3] sawa mkuuNitakupa hatua zifuatazo zinaweza kusaidia.
1: Hakikisha Jambo la kwanza kuwa n'gombe ni MSAFI na Banda ni safi.
2: Hakikisha Sehemu ya kukamulia inakuwa na utulivu mzuriunampa Pumba Ng'ombe kabla ya chochote.
3 : Hakikisha unamuosha kiwele chake kwa maji ya Mato kwa sabuni huku ukimfuta na kitambaa kumkausha.
4: Mpake mafuta kwaajili ya kuanza kukamua.
HAKIKISHA AMEKUZOEA NA HUMSHTUI AU KUWA NA MAKELELE YA AINA YOYOTE.
NB.
N'gombe anaendelea mziki kwa mbali.
Ukimuwekea wimbo mzuri RNB za mbele Celine Dion nk atakuongezea Lita 3.
Kama ulikuwa unakamua Lita 10 kwa kusikiliza mziki lakini ATAKUPA Lita 13-15.
[emoji276]Kama ng'ombe anabana miguu wakati wa kukamuliwa mh je ulishawah mpanda huyu ng'ombe?
Madogo walikuw ja tabia ya kupanda ng'ombe, wakiingia zizini tu ng'ombe wanabana miguu
Babu yangu akiwa hai alifukuza wafanyakaz wawili kwa sababu ya hii. Watu wengi wanaoangalia mifugo ni wana tabia za kishenz sana. .[emoji276]
Uko sahihi hasa kwa ngómbe wakienyeji akiamua hataki kukamliwa utaambulia kikombe cha chai. Ila ukiamwachia ndama anyonye unaona maziwa mpaka yanadondoka chini. Tumia ndama kumconvice, achia ndama anyonye kidoge alafu ukamue, ukiona ameanza kuficha unaachia tena ndama. Pia tumia vilainishi au maziwa yake yake mwenyewe. Usivute chuchu zake zake pale fanya kama unazibinya binya.Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
asante sanaUko sahihi hasa kwa ngómbe wakienyeji akiamua hataki kukamliwa utaambulia kikombe cha chai. Ila ukiamwachia ndama anyonye unaona maziwa mpaka yanadondoka chini. Tumia ndama kumconvice, achia ndama anyonye kidoge alafu ukamue, ukiona ameanza kuficha unaachia tena ndama. Pia tumia vilainishi au maziwa yake yake mwenyewe. Usivute chuchu zake zake pale fanya kama unazibinya binya.
Duhhh mkuu kumuelekeza mtu kukamua kwa kutumia keyboard ni ngumu sana au Kiswahili chepesi ni haiwezekaniShukrani sana Anigrain [emoji120][emoji120]
kuna jirani yangu ameniambia kwamba sijuwi kukamua! Je ni utaalamu gani labda unatumika kwenye ukamuaji licha kutumia mafuta ya kukamulia??
Duhhh mkuu kumuelekeza mtu kukamua kwa kutumia keyboard ni ngumu sana au Kiswahili chepesi ni haiwezekani
Inabidi umtumie mtu anaejua kukamua vizuri akuelekeze ukiwa unaona na unatenda ili uweze kumaster Kwa haraka
Speed katika ukamuaji inahitajika sana, mtu ukiwa hujui kukamua au huna uzoefu Ng'ombe huboreka na kuamua kuzuia maziwa umwache
Jitajihidi sana ujifunze haraka iwezekanavyo maana muda sio mrefu utaanza kuuguza magonjwa ya kiwele, Ng'ombe akiwa anabakiza maziwa anapata ugonjwa wa Mastitis
Na kama waga mnamkamua bila chakula basi unaweza kuanza kuwa unawawekea pumba kidogo wakati wa kukamuliwa, ili waone kutoa maziwa ni wajibu wao
Hizo pumba unapaswa uchanganye na baadhi ya virutubisho ili kuongeza kiasi cha maziwa lakini pia kuongeza ubora wa maziwa, ili maziwa yawe na uwiano mzuri katika uzito,utamu na mafuta
utaweka madini ya calcium, phosphorus na vitamin D au kifupi wanaita (DCP) pia vingine[emoji120][emoji120]
Subiri na mimi nitie neno hapaNaombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
maziwa kwa asili ni kwa ajili ya ndama na si binadamu au matumizi mengine yoyote.Naombeni mwongozo: kwani ng'ombe anaficha maziwa?
ni ng'ombe mwenye maziwa mengi tu lakini ana tabia ya "kubana" ukiwa unakamua. Sijuwi ni kwanini?!
mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie jamani
Labda hujui kukamua. Unamuuza ng'ombe wakati wa kukamua. Au huwa unampiga au kum.treat vibaya hivyo akikuona anapatwa na kiwewe. Kwa kifupi tatizo ni wewe. Ng'ombe wakati wa kukamuliwa anatakiwa awe relaxed kabisa. Apewe chakula anachopenda sana, halafu ni vizuri akakamuliwa na mtu aliyemzoea. Siyo wewe unaenda mara moja moja kumhudumia halafu unakimbilia kukamua.maji vuguvugu natumia. Iko hivi: mwanzo maziwa yanatoka vizuri lakini baada ya dk 2 yanakata! akikamua dogo anaewalisha anapata mara tatu ya yale ninayokamua mimi[emoji848]
Sio kwelimaziwa kwa asili ni kwa ajili ya ndama na si binadamu au matumizi mengine yoyote.