Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
- Thread starter
- #21
Azam ndio wanaonyesha ngumiHivi ITV walirusha live mapambano yawale wadada ?
Sijajua kabisa ivi kwanza alishinda nani kati ya Zulfa Macho na Halima vunja bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam ndio wanaonyesha ngumiHivi ITV walirusha live mapambano yawale wadada ?
Sijajua kabisa ivi kwanza alishinda nani kati ya Zulfa Macho na Halima vunja bei
Lkn hizi za hawa madada hazijaonyeshwa au mimi ndio sijaonaAzam ndio wanaonyesha ngumi
Muda unaotaka ngumu zichezwe, saa 3 na kuendelea, ndio muda unaotumika. Kinacho kutesa, ni elimu, hasa geography. Nchi zina masaa tofauti tofauti. Hata hapa nchini, kuku wa mkoa wa Pwani anaingia ndani kabla ya kuku wa Kigoma![emoji1787] [emoji1787] Inachekesha lakini inauma pia. Kila nikifikiria sababu ya kuweka pambano usiku wamanane siipati. Na hakika wanakosa watazamaji wengi, kwenye TV na hata ukumbini pia. Nahakika hata walioko ukumbini wengine wanakua wamelewa wanapiga kelele tuasubuhi wakiamka hawakumbuki kitu (I've been there 😀)
Zulfa Macho ndiye aliyeshinda.Hivi ITV walirusha live mapambano yawale wadada ?
Sijajua kabisa ivi kwanza alishinda nani kati ya Zulfa Macho na Halima vunja bei
Ni kweli elimu inanitesa. Haya niambie ngumi kuchezwa usiku wa manane walengwa ni wapi? Kumbuka usiku wa manane ni usiku wa manane hata uwe wapi. Kama ni usiku wa manane dar es salaam hata kama ikiwa ni asubuhi sehemu nyingine haimsaidii mtu aliyepo ukumbini dar es salaam. Kuna watu ukumbini ambao wanatakiwa waende majumbani kwao baada ya ngumi. Haya lete Geography yako hapa utafafanulie tuelewe tuelimikeMuda unaotaka ngumu zichezwe, saa 3 na kuendelea, ndio muda unaotumika. Kinacho kutesa, ni elimu, hasa geography. Nchi zina masaa tofauti tofauti. Hata hapa nchini, kuku wa mkoa wa Pwani anaingia ndani kabla ya kuku wa Kigoma!