Kwanini ngumi zinachezwa usiku wa manane?

Hivi ITV walirusha live mapambano yawale wadada ?
Sijajua kabisa ivi kwanza alishinda nani kati ya Zulfa Macho na Halima vunja bei
Azam ndio wanaonyesha ngumi
 
Upo sahihi mkuu,mara 2 hivi nimejikuta nimelala na sijamaliza mapambano
 
Muda unaotaka ngumu zichezwe, saa 3 na kuendelea, ndio muda unaotumika. Kinacho kutesa, ni elimu, hasa geography. Nchi zina masaa tofauti tofauti. Hata hapa nchini, kuku wa mkoa wa Pwani anaingia ndani kabla ya kuku wa Kigoma!
 
Ni kweli elimu inanitesa. Haya niambie ngumi kuchezwa usiku wa manane walengwa ni wapi? Kumbuka usiku wa manane ni usiku wa manane hata uwe wapi. Kama ni usiku wa manane dar es salaam hata kama ikiwa ni asubuhi sehemu nyingine haimsaidii mtu aliyepo ukumbini dar es salaam. Kuna watu ukumbini ambao wanatakiwa waende majumbani kwao baada ya ngumi. Haya lete Geography yako hapa utafafanulie tuelewe tuelimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…