dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
talaka kama zote kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha kule kwenye wanaoruhusiwa kuo zaidi ya mke mmoja?Habari wadau,?
Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana zanzibar ama pemba?
Je huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada...
Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi.. ila zanzibar why hapana?
Wewe mke au mume?usiyependa kuoa mke zaidi ya mmoja,unajua hekima za kuoa mke zaidi ya mmoja?Unamaanisha kule kwenye wanaoruhusiwa kuo zaidi ya mke mmoja?
Habari wadau,?
Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana zanzibar ama pemba?
Je huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada...
Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi.. ila zanzibar why hapana?
Jibu langu siyo rasmi ila kukaa kwangu unguja kwa zaidi ya miaka 10++++ naweza kusema sababu kubwa ni kwamba huku hamna ndoa za kuvumiliana unaweza kuoa leo ukaacha kesho.Habari wadau,?
Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana zanzibar ama pemba?
Je huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada...
Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi.. ila zanzibar why hapana?
Uislamu mwana mke mtalaka huolewa bila matatizo, wengi katika jami za pwani kuachika na kuolewa tena hata mara tatu, uku bara wengi wanawadharau huitwa singo maza, na kuna hulka haasi eti kuoa singo maza nisawasa na kununua kiwajanja chenye mgogoro.Jibu langu siyo rasmi ila kukaa kwangu unguja kwa zaidi ya miaka 10++++ naweza kusema sababu kubwa ni kwamba huku hamna ndoa za kuvumiliana unaweza kuoa leo ukaacha kesho.
Ndoa zetu nyingi bara tuna kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe na hapo ndo tatizo linapoanzia.
Mwanamke anaweza kuamua kukusumbua makusudi ili muachane mgawane mali. Mwanaume anaamua kuvumilia wakati huo huo mwanamke naye anazidisha vibweka.
Hasira inapanda mtu anaamua kufanya yake.
Unguja bana mwanamke akiachwa hadai chochote, sana sana atabeba kabati alilokuja nalo siku ya ndoa basi.