Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #241
Huwa naona mara nyingi ni Hivi lakini nakuwa nawaza kwanini mnadani hawapeleki ama Kuna katazo la serikali. Leo ndo nimepata majibu humuMazao mengi hununuliwa shambani na walanguzi na madalali
Hapana siyo kweliMbona huko kwenye uislamu ni nyama pendwa kabisa?
Ukisema farasi nitaanza kushangaa mwenyewe hapahapa maana sijawahi ona mfugaji wa farasi anao hata 50 Kwa pamoja Hapa nchini. Pia sungura walaji wake ni wachache sana mkuu fatilia tuUliwahi kuona Ngamia, Farasi, Sungura wakiuzwa mnadani? Vitu hadimu huwezi kuviona vikitembezwa tembezwa
[emoji16][emoji16]Kwa zile kelele zake huko mnadani mtasikilizana kweli!
Mkuu mbona naonaga ngamia anasomewa Dua Hadi ana lala mwenyewe na kuchinjwa?Hapana siyo kweli
Hata mimi nimeona kama wewe ila sijajua wanatumia sheria gani,maana mafundisho yapo wazi kwenye vitabu kuhusu nini cha kula na nini kisiliweMkuu mbona naonaga ngamia anasomewa Dua Hadi ana lala mwenyewe na kuchinjwa?
Tena kwenye sikukuu za uislamu utasikia boss kajitoa kuwa atachinja ngamia na anasomewe Dua kwanza ndo anachinjwa Nini maana yake?
Unatumia ndoo tuu bro. Ataingia kiulaiiiin.Mtiti wa kumpandisha nguruwe kwenye gari sio wakitoto
Wanaipa heshima kubwa sana hiyo kitu kiasi kwamba wanaila mtu binafsi faraghani ili asije mnoko akatia mkono hapo eti naonja tu kidogo.Mbona huko kwenye uislamu ni nyama pendwa kabisa?
Exactly Yes. Kibongo bongo ni chupa moja ya bia.Mkuu una Manisha manii yake (shahawa )ni kanusu Lita?
Halafu kwenye biashara ya kitimoto hai, mnunuzi na muuzaji wote wanafahamu ni kilo ngapi za nyama zilizopo hapo japokuwa mnyama bado anatembea i.e. yupo hai kwa kutumia "weigh band." Hakuna kudanganyana kama wafanyavyo wale jamaa almaarufu Galagaja kwenye ng'ombe na mbuzi.Huwa naona mara nyingi ni Hivi lakini nakuwa nawaza kwanini mnadani hawapeleki ama Kuna katazo la serikali. Leo ndo nimepata majibu humu
Inakuwa hivyo kwa sababu takriban 98% ya mwili wake ni Consumable items. i.e. Kila kitu hapo mwilini kwake kinauzwa/kinatumika kuanzia kongoro, kichwa, utumbo, mafuta, n.k. wa hiyo faida ni kubwa. Kinachotupwa labda ni manyoya tuu kwani hakuna ngozi. Ngozi hutolewa na mafuta yake.Demand yake ipo juu anafuatwa alipo
Utashambuliwa na masheheJf saalam.
Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.
Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?
Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.
Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160
Nguruwe ni bidhaa inayohitajika sanaKila mtu hununua alichopanga mkuu.
Mfano mzuri kama unaenda kununua mbuzi mnadani huwezi badirisha wazo ukanunua nguruwe ni ngumu
Sasa ikiwa nyama choma ya kitimoto unapata na wanapatikana hadi nanenane, sidhani kama wanahitaji kupatikana hadi mnadani. Wangu maisha ni mafupi na kuna mambo mengi hebu tujadili vipi tunaweza kuwarithisha kizazi kijacho Tanzania yenye matumaini.Sahihi mkuu lakini hapo hapo mnadani ukienda sehem ya nyama choma ukiuliza kitimoto Unapata.
Pia kwenye nanenane wapo nguruwe wengi tu. Hapo ndo napata ukakasi kwanini mnadani tu?
Nenda wilaya ya siha kijiji makiwaru katikat panasoko upande mmoja mnada wa ng'ombe upande wapil kama unaenda hospital ya ngartat mnada wa nguruee tena zipo za kushatoooJf saalam.
Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.
Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?
Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.
Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160