Kwanini ni lazima waende tanga mdomera?

Kwanini ni lazima waende tanga mdomera?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Kwani arusha hii imejaa kiasi cha kuwapeleka wamasai huko msomera,

Au wangetenga tu eneo huko huko ngorongoro kama kijiji maana nyumba za huko zipo mbali mbali na wakatumia mbinu ambayo ingechukua muda kuwahamisha kuliko kuwahamisha kwa mkupuo,

Maana kuna wengine wana ndugu zao wanaona ni taabu kwenda mbali.
 
Wangepelekwa Zanzibar me naona
 
Serkaikari yako na ubunifu eti msometa ni mbali hawawezi rudi
 
Back
Top Bottom