Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Yericko Nyerere nilikuwa nakuona wa maana kumbe huna lolote. Tunapambana kuitoa ccm madarakani kwa kukaa muda mrefu, kumbe huku nyuma nyie ndio mnafanya watu wafie madarakani. Ni hivi, wakati ukuta, zama za Mbowe kuwa mwenyekiti zimeshapita. Kama Mbowe ni tajiri akaendeshe biashara zake, aiache cdm ijiendeshe kisiasa. Ni haki yako kutokumpa Lisu kura yako maana hiyo ndio demokrasia, lakini hatuko tayari tena kumuona Mbowe akiwa mwenyekiti wa cdm.
 
Kugombea Urais kuongoza watu 60m, sawa anafaa. Ila kugombea uenyekiti kuongoza watu wachache, ana nia ovu hafai. Pumbavu kabisa hili jamaa.
Hawa ndio wale wachawa wanaotaka Mbowe aendelee kwa faida ya matumbo yao
Inaonyesha jinsi gani wanavyowachukulia watanzania.
Sasa hivi jamaa kageuka kuwa msaliti, mbaya, anatumiwa na msigwa kisa tu aliposema anataka kugombea wenyekiti.
 
..lbd km akili yako haitaki kuelewa, Lisu amekuwa anabadilishiwa nafasi kutokana na kushindwa kufanya majukumu ya nafasi inavyopaswa..wakati mwingine mpe nafasi mtu asiyekubali ya wengine ili aone yeye mwenyewe, bila hata kujali uamuzi wa kumpa Lisu nafasi agombee nafasi ya Urais..wewe unaamini ANGESHINDA? wakati mwingine kushiriki uchaguzi ni kukijenga chama zaidi kuliko kushinda nafasi mnayogombea!
 
Kugombea Urais kuongoza watu 60m, sawa anafaa. Ila kugombea uenyekiti kuongoza watu wachache, ana nia ovu hafai. Pumbavu kabisa hili jamaa.
Hawa ndio wale wachawa wanaotaka Mbowe aendelee kwa faida ya matumbo yao
..wakati mwingine kushiriki uchaguzi ni kukijenga chama zaidi kuliko kushinda nafasi mnayogombea!
 
Nchi hizi ina maajabu mengi sana, hivi Abdul ana cheo gani serikalini mpaka aweze kumlipa Lissu stahiki zake za kibunge?
Rostam anacheo gani? Unaelewa misheni town wewe? Kuna watu wanaweza kuwa na ccess na rais kuliko hata waziri mkuu, na hana cheo chochote kile serikalini.

Utachelewa sana mkuu, socialize upewe njia ushangae mwenyewe. Nyie ndio huwadharau watu wa chini maofisini.
 
Barikiwa sana kwa bandiko lililotukuka
Hakika kwa sasa kwenye upinzani wa nchi hii hakuna mtu jasiri na mwenye msimamo asiyekurupuka kama Mbowe jamaa kapita mengi sana kiasi kwamba angekuwa mwingine angeshaunga mkono juhudi au kuamua kuachana na siasa kabisa!
Mungu mbariki sana kamanda Mbowe
 
Andiko nzuri Sana mwenye macho aambiwi....wenye mihemko na ukanda wasioijua historia ya CDM na uongozi wa Mbowe ni Narriw Minded.

Wasichokijua watu, sio kwamba CCM wanapenda Sana LISU awe mwenyekiti ila washajua pale angalau ni uchochoro wa kupitia, maana huku Kwa FAM wametumia mbinu zote wamefeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…