Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Moja ya chama cha ajabu Tanzania ni CHADEMA. Yaani Lissu mliona anafaa kuwa Rais wa Tanzania yenye raia milioni 60 lakini kwa sasa mnaona hafai kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ambacho hakifikishi wanachama milioni 5.

Kuna muda ni vyema na busara kukaa kimya kuliko haya mnayoyafanya sasa. Hivi mna tofauti gani na mnaowasemaga kwamba ni chawa upande wa CCM na Serikali?
Hujasoma vizuri bandiko. Mleta mada kaeleza hilo vizuri sana. Rudia.

Labda kama akili inakataa tu.
 
Yeriko Nyerere wewe ulikuwa Mtumishi mtiifu wa hayati Membe na unaelewa kabisa Mbowe ni CCM

Waache Lisu na Mbowe wapambane kwenye Uchaguzi huru na haki utakaosimamiwa na Chama Cha Wanasheria wa Kenya

Nimemaliza 🐼
Ni haki yake kumpigia kampeni mgombea anayemtaka.

Wengi hapa wanakosea kufikiri kuwa huu ni msimamo wa CHADEMA.

Hili ni andiko binafsi la Yeriko Nyerere akimpigia kampeni Mbowe dhidi ya Lissu.

Na wewe unaweza kuweka lako la kumpigia debe Lissu dhidi ya Mbowe.
 
Aiseee sikujua kama CDM ni wajinga kiasi hiki. Kwamba mnaweza mkaaa na mkamuweka mtu ambaye hana uwezo wa kuwa Rais kugombea Urais. Kwahiyo kwa lugha rahisi unasema Watanzania waendelee kuichagua CCM kwakuwa CDM hawana mtu anayeweza kuwa Rais. Unathibitisha kuwa CDM ni chama cha kijasiriamali, wazee wa maokoto ya Ruzuku. Maskini vijana ambao wamepoteza mwelekeo wa maisha kwa kuamini wanaweza kupata mabadiliko kupitia CDM
Yerico ametumia haki yake ya kidemokrasia sio kosa kumkosoa lisu na kumsifia mbowe ndo kutakua na kupiga kura na mwenye kura nyingi atakua mwenyekiti
 
Kwani ni kosa kwa yeriko kumsupport mbowe
Kama ni muhumuni wa demokrasia yeriko hama kosa lolote

Kwamba wewe unamuamini lisu mtu yeyote aliyeko kinyume chako means anamsupport mbowe ni chawa
Mbona point ya kijinga sana hii
Hoja alizota Yericko ndo za kijinga. Tafasirk yake ni kwamba 2020 CHADEMA walitaka tumuchagua mtu asiyefaa kuwa raisi wa nchi kisa anataka kugombea na uenyekiti wa CDM.
 
Aiseee sikujua kama CDM ni wajinga kiasi hiki. Kwamba mnaweza mkaaa na mkamuweka mtu ambaye hana uwezo wa kuwa Rais kugombea Urais. Kwahiyo kwa lugha rahisi unasema Watanzania waendelee kuichagua CCM kwakuwa CDM hawana mtu anayeweza kuwa Rais. Unathibitisha kuwa CDM ni chama cha kijasiriamali, wazee wa maokoto ya Ruzuku. Maskini vijana ambao wamepoteza mwelekeo wa maisha kwa kuamini wanaweza kupata mabadiliko kupitia CDM
Nyerere alishawaambia bila CCM madhubuti nchi itayumba. Umathubuti umeendelea kuimarishwa kwa kupata watu sahihi.
 
Hoja alizota Yericko ndo za kijinga. Tafasirk yake ni kwamba 2020 CHADEMA walitaka tumuchagua mtu asiyefaa kuwa raisi wa nchi kisa anataka kugombea na uenyekiti wa CDM.
..inawezekana lengo kuu la chama lilikuwa kukijenga chama zaidi kuliko Lisu kushinda urais..kwa nini unalazimisha kwa lengo unaloona wewe..!
 
Nimeishia kusoma hapa tu, yaani leo hii Lissu aliyekua jasiri pekee kumface JPM na kuupa uhai siasa za upinzani kipindi kile cha udikteta ndio leo mnamuita anatumika na CCCM? yaani ali risk maisha hadi kupigwa risasi all that ili aje kutumika na CCM?

Nimekudharau sana hata kitabu chako nitakichoma moto, nilidhani upo intelligent kumbe ni just another Mbowe's pawn!! So embarrassing
Ajabu sana demokrasia wanayoihubiri hawataki kuiishi nimeshangaa jamaa mmoja kule X anatolea reference ya Mbowe kuwepo madarakani miaka 20 sio ajabu hata Nyerere alikuwa mwenyekiti 1954 hadi 1990!

Si aibu hii yani wabaka demokrasia na majizi ya CCM ndio wamekuwa wa kutolewa mfano ?

Ukweli ni kuwa Mbowe kafanya mengi mazuri kwa miaka 20 ila kwa siasa za miaka ya karibuni hatoshi kuendelea kuwa mwenyekiti ni wakati wa kuleta brains nyingine.
 
Lissu kwenye matatizo huwa anakimbia nchi.

Lissu siyo jasiri ni sawa tu na Mnyika anayekimbilia kanisani.

Sipendi siasa ila ni afadhali hata huyo Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
 
Hoja alizota Yericko ndo za kijinga. Tafasirk yake ni kwamba 2020 CHADEMA walitaka tumuchagua mtu asiyefaa kuwa raisi wa nchi kisa anataka kugombea na uenyekiti wa CDM.
Kwako ni za kijinga
Lakin kama lisu anautaka uenyekiti wa chama awe tayari kwa mashumbulizi na awe tayari kuipigania hiyo nafasi hiyo ndo democrasia kwamba aligombea urais apitishwe tu hiko si kituko

Lisu mbona anatuhumu chama kwa rushwa na hajaonyesha ushahidi hata mmoja
Ana-mnanga kila siku mbowe ila umeshaona mbowe anamjibu
 
Big up.
Umeongea Kwa fact tupu.
Sijaruka mstari hata mmoja.

Wajinga na mbumbumbu fc hawatakuelewa.

Nchi ngumu sana hii.
Na wajiandae,siku Chadema ikishika Dola.

Dola yenyewe itakimbia.

Maana SI kwa ujinga huo wote.

Na kama sio wao,basi wajukuu ama vitukuu watawajibika miaka ijayo.
Historia haidanganyi.

Salute kwako mkuu.

Ni zaidi ya unyama.
Mungu fundi,ajabu ashatangulia mungu wao.
So,wanaogopa sana.
Kiufupi,Mimi ni mwumini wa usawa.
 
Ajabu sana demokrasia wanayoihubiri hawataki kuiishi nimeshangaa jamaa mmoja kule X anatolea reference ya Mbowe kuwepo madarakani miaka 20 sio ajabu hata Nyerere alikuwa mwenyekiti 1954 hadi 1990!

Si aibu hii yani wabaka demokrasia na majizi ya CCM ndio wamekuwa wa kutolewa mfano ?

Ukweli ni kuwa Mbowe kafanya mengi mazuri kwa miaka 20 ila kwa siasa za miaka ya karibuni hatoshi kuendelea kuwa mwenyekiti ni wakati wa kuleta brains nyingine.
Chadema wanademocrasia ndo maana lisu ameruhusiwa kuchukua fomu
Haya mashambulizi dhidi ya lisu ni ya kawaida mbona yeye Lisu kila siku anakinanga chama tuacheni double standard
 
Chadema wanademocrasia ndo maana lisu ameruhusiwa kuchukua fomu
Haya mashambulizi dhidi ya lisu ni ya kawaida mbona yeye Lisu kila siku anakinanga chama tuacheni double standard
Hakuna double standard yoyote Lissu kutangaza nia imeonekana kama ni "uhaini" hicho ndio naona sio sawa.
 
Back
Top Bottom