Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Sio kote na hiyo ni baada ya week-mbiliKimara maji yametoka Jana
Leo pia yapo
Hujasoma vizuri bandiko. Mleta mada kaeleza hilo vizuri sana. Rudia.Moja ya chama cha ajabu Tanzania ni CHADEMA. Yaani Lissu mliona anafaa kuwa Rais wa Tanzania yenye raia milioni 60 lakini kwa sasa mnaona hafai kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ambacho hakifikishi wanachama milioni 5.
Kuna muda ni vyema na busara kukaa kimya kuliko haya mnayoyafanya sasa. Hivi mna tofauti gani na mnaowasemaga kwamba ni chawa upande wa CCM na Serikali?
Kwakweli, nimeshangaa sana kumbe Chadema tuna akili kama za CCM tu hatuna tofauti. Ni hivi Nampongeza mama samia kwa kukandamiza demokrasia maana tunamlaumu kumbe sisi tunafanya yale yale.
Kwani ni kosa kwa yeriko kumsupport mboweWatu wanasema CCM kuna machawa haya angalieni CHADEMA sasa.
Kama ndo hayo mawazo yenu, jiiteni chama cha familia ya Mbowe na chawa wake,..jaribu hiyo demokrasia unayoitetea nyumbani kwako kwanza kabla ya kuelimisha wengine.
Ni haki yake kumpigia kampeni mgombea anayemtaka.Yeriko Nyerere wewe ulikuwa Mtumishi mtiifu wa hayati Membe na unaelewa kabisa Mbowe ni CCM
Waache Lisu na Mbowe wapambane kwenye Uchaguzi huru na haki utakaosimamiwa na Chama Cha Wanasheria wa Kenya
Nimemaliza 🐼
Yerico ametumia haki yake ya kidemokrasia sio kosa kumkosoa lisu na kumsifia mbowe ndo kutakua na kupiga kura na mwenye kura nyingi atakua mwenyekitiAiseee sikujua kama CDM ni wajinga kiasi hiki. Kwamba mnaweza mkaaa na mkamuweka mtu ambaye hana uwezo wa kuwa Rais kugombea Urais. Kwahiyo kwa lugha rahisi unasema Watanzania waendelee kuichagua CCM kwakuwa CDM hawana mtu anayeweza kuwa Rais. Unathibitisha kuwa CDM ni chama cha kijasiriamali, wazee wa maokoto ya Ruzuku. Maskini vijana ambao wamepoteza mwelekeo wa maisha kwa kuamini wanaweza kupata mabadiliko kupitia CDM
..usikariri demokrasia km ratiba ya kula shuleni, elewa mantiki yote..usiangalie kitu kimoja tu..!Kama ndo hayo mawazo yenu, jiiteni chama cha familia ya Mbowe na chawa wake,
kwa hiyoMbowe haendani tena na mahitaji ya siasa za Tanzania za kuanzia mwaka 2019, hatoshi kuwa Mwenyekiti wa chama kuifanya CHADEMA ilete mabadiliko yoyote 2025
Hoja alizota Yericko ndo za kijinga. Tafasirk yake ni kwamba 2020 CHADEMA walitaka tumuchagua mtu asiyefaa kuwa raisi wa nchi kisa anataka kugombea na uenyekiti wa CDM.Kwani ni kosa kwa yeriko kumsupport mbowe
Kama ni muhumuni wa demokrasia yeriko hama kosa lolote
Kwamba wewe unamuamini lisu mtu yeyote aliyeko kinyume chako means anamsupport mbowe ni chawa
Mbona point ya kijinga sana hii
Nyerere alishawaambia bila CCM madhubuti nchi itayumba. Umathubuti umeendelea kuimarishwa kwa kupata watu sahihi.Aiseee sikujua kama CDM ni wajinga kiasi hiki. Kwamba mnaweza mkaaa na mkamuweka mtu ambaye hana uwezo wa kuwa Rais kugombea Urais. Kwahiyo kwa lugha rahisi unasema Watanzania waendelee kuichagua CCM kwakuwa CDM hawana mtu anayeweza kuwa Rais. Unathibitisha kuwa CDM ni chama cha kijasiriamali, wazee wa maokoto ya Ruzuku. Maskini vijana ambao wamepoteza mwelekeo wa maisha kwa kuamini wanaweza kupata mabadiliko kupitia CDM
..inawezekana lengo kuu la chama lilikuwa kukijenga chama zaidi kuliko Lisu kushinda urais..kwa nini unalazimisha kwa lengo unaloona wewe..!Hoja alizota Yericko ndo za kijinga. Tafasirk yake ni kwamba 2020 CHADEMA walitaka tumuchagua mtu asiyefaa kuwa raisi wa nchi kisa anataka kugombea na uenyekiti wa CDM.
Ajabu sana demokrasia wanayoihubiri hawataki kuiishi nimeshangaa jamaa mmoja kule X anatolea reference ya Mbowe kuwepo madarakani miaka 20 sio ajabu hata Nyerere alikuwa mwenyekiti 1954 hadi 1990!Nimeishia kusoma hapa tu, yaani leo hii Lissu aliyekua jasiri pekee kumface JPM na kuupa uhai siasa za upinzani kipindi kile cha udikteta ndio leo mnamuita anatumika na CCCM? yaani ali risk maisha hadi kupigwa risasi all that ili aje kutumika na CCM?
Nimekudharau sana hata kitabu chako nitakichoma moto, nilidhani upo intelligent kumbe ni just another Mbowe's pawn!! So embarrassing
Kwako ni za kijingaHoja alizota Yericko ndo za kijinga. Tafasirk yake ni kwamba 2020 CHADEMA walitaka tumuchagua mtu asiyefaa kuwa raisi wa nchi kisa anataka kugombea na uenyekiti wa CDM.
Chadema wanademocrasia ndo maana lisu ameruhusiwa kuchukua fomuAjabu sana demokrasia wanayoihubiri hawataki kuiishi nimeshangaa jamaa mmoja kule X anatolea reference ya Mbowe kuwepo madarakani miaka 20 sio ajabu hata Nyerere alikuwa mwenyekiti 1954 hadi 1990!
Si aibu hii yani wabaka demokrasia na majizi ya CCM ndio wamekuwa wa kutolewa mfano ?
Ukweli ni kuwa Mbowe kafanya mengi mazuri kwa miaka 20 ila kwa siasa za miaka ya karibuni hatoshi kuendelea kuwa mwenyekiti ni wakati wa kuleta brains nyingine.
Hakuna double standard yoyote Lissu kutangaza nia imeonekana kama ni "uhaini" hicho ndio naona sio sawa.Chadema wanademocrasia ndo maana lisu ameruhusiwa kuchukua fomu
Haya mashambulizi dhidi ya lisu ni ya kawaida mbona yeye Lisu kila siku anakinanga chama tuacheni double standard