Kwanini ni ngumu kumshauri mtumishi wa Serikali kuwa salary advance ni mbaya kwake

Jamaa Fulani Mjuaji

Senior Member
Joined
Jul 25, 2020
Posts
169
Reaction score
332
Nimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki,

Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance Hata kama mshahara umebaki wiki moja Yeye anachukua ili aje kukatwa Asilimia 5 ya Mshahara wake na wengine Hawashauriki kabisa na Hawasikii.. wengine imekua kama Uraibu

Kwanini ni ngumu kuacha Kuchukua salary advance kwa watumishi....?
 
IMG-20260323-WA0004.jpg
 
Asilimia 5 ya mshahara au ya mkopo alochukua mbona kama umebug hapo?
 
Back
Top Bottom