The New Saints
JF-Expert Member
- Apr 26, 2026
- 289
- 767
Shida ni mshahara kuja nusu. So labda ujinyimeUnaweza Kujikomboa ukiweka Bajeti zako Vema
Shida ni mshahara kuja nusu. So labda ujinyimeUnaweza Kujikomboa ukiweka Bajeti zako Vema
Pengine aishi Kuringana na Kipato Chake apange Bajeti kuringana na KipatoLau mshahar wake ungemtosha mwezi mzima katu usingemuona akichukua advance
Umenisusa Angel mama 🥹
Nusu kwa sababu ya Lundo la MikopoShida ni mshahara kuja nusu. So labda ujinyime
Naaam Naaam 😂😂😂😂Jamaa fulani mjuaji 😅😅
Jiulize kwanin watumishi wengine hawajawahi kuchukua salary advanceNimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki,
Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance Hata kama mshahara umebaki wiki moja Yeye anachukua ili aje kukatwa Asilimia 5 ya Mshahara wake na wengine Hawashauriki kabisa na Hawasikii.. wengine imekua kama Uraibu
Kwanini ni ngumu kuacha Kuchukua salary advance kwa watumishi....?
Kwa kweli unisameh tu naona nna mambo mengi....nitakutafuta Insha'AllahUmenisusa Angel mama 🥹