Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 169
- 332
Wengine unamuonea Huruma kwa anayopitiaUsimshauri tena muache ni mtu mzima mkaidi
Kanuni ya ushauri iko hiviWengine unamuonea Huruma kwa anayopitia
Walau Vikundi vinasaidia sana!
Asilimia 5 ya mshahara au ya mkopo alochukua mbona kama umebug hapo?Nimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki,
Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance Hata kama mshahara umebaki wiki moja Yeye anachukua ili aje kukatwa Asilimia 5 ya Mshahara wake na wengine Hawashauriki kabisa na Hawasikii.. wengine imekua kama Uraibu
Kwanini ni ngumu kuacha Kuchukua salary advance kwa watumishi....?
ππππSalary Advance na Mikopo ya riba holela ni chanda na pete. Nimepitia sana huo msoto.
Kanuni ya ushauri iko hivi
Wewe toa ushauri na hapo tayali umemaliza
kufanyia kazi ushauri wako muachie yeye baasi
5% ya mkopo BudaAsilimia 5 ya mshahara au ya mkopo alochukua mbona kama umebug hapo?
Ujibalance vemaMkuu which is better nikiishiwa nivute advance au nisote kusubiria mshahara
Of course ukishachukua advance kuchomoka ni ngumuUjibalance vema
ππππππΈπΈπΈ
Unaweza Kujikomboa ukiweka Bajeti zako VemaOf course ukishachukua advance kuchomoka ni ngumu
Wanateseka mpaka huruma