demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Habari wana jamvi?
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena yaani najikuta nashindwa kabisa, ni kama najiona nachota maji baharini kwa kutumia kijiko.
Vile vile huwa inanishangaza sana pale wanawake zangu wanapo zifumania story za kimapenzi na kimahaba kwenye simu zangu kwa wanawake wengine, wanaishia kutokwa na machozi ila baada ya siku mbili wanakutumia text "My umeamkaje?".."Mpenzi nimekumiss". ..."Natamani nikuone".
Nashindwa kuelewa kwa kweli.