Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Habari wana jamvi?

Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena yaani najikuta nashindwa kabisa, ni kama najiona nachota maji baharini kwa kutumia kijiko.

Vile vile huwa inanishangaza sana pale wanawake zangu wanapo zifumania story za kimapenzi na kimahaba kwenye simu zangu kwa wanawake wengine, wanaishia kutokwa na machozi ila baada ya siku mbili wanakutumia text "My umeamkaje?".."Mpenzi nimekumiss". ..."Natamani nikuone".

Nashindwa kuelewa kwa kweli.
 
Wanaume ni polygamous creatures. Ni asili ya kiumbe wa kiume kuwa na majike wengi lakini hapo hapo viumbe wa kike wengi wanakuwa na dume mmoja tu.

Angalia hata jogoo bandani ana majike 20+. Angalia pride ya simba ina dume moja na majike yakushanta.

Hata binadamu na sisi tupo hivyo hivyo. Ni nature na hauwezi kupingana nayo.
 
Ni kwasababu nao wana revenge, hivyo haiwaumizi sana. Anasamehe akidhania kuwa nawe siku ukimfuma utamsamehe
 

Hiyo sio sababu
Kuridhika ndio kitu hamuwezi acha kuzingizia jogoo mkuu
 
😃😃wapo

Ila mimi sijaumbwa kusamehe usaliti...Red flag yoyote tu inaDistort mahusiano
 
Huwa hawasamehi ila wanajitahidi kutafuta wapi pa kulipiza kisasi hata ikiwa ni miaka 30
 
Mwanamke ana IQ kubwa nchi nyingine anabudiwa ujue
 
Tangu dunia hii iumbwe,
Suala la Mwanaume kuchepuka hata sio habar ya kushangaza,

Wanachoangalia Ni heshima na mahitaji yake utimize kwa ufanisi na kwa wakati.

Wanawake wote wanaojitambua nadhani hili wanalijua.
 
Nakazia
 
Mwanamke anakabiliwa na matatizo makuu mawili
1. Uchumi mdogo wa kuendesha maisha
2. Kupata mume mpya ni changamoto

Ukimcheat mwanamke mwenye fedha zake ndio utajua kumbe mwanamke ni hatari Sana linapokuja suala la kucheatiwa!
 
Mwanaume ni mtawala that's why baadhi ya dini na Kabila zinatoka kibali mwanaume kuoa au kumiliki wanawake zaidi ya mmoja.
Ni mambo ya western culture tu ndio yameibua kuwa mwanaume pia anacheat.

Ila kwa uhakika kabisa MWANAUME HACHEAT. Ni mipango tu ya shetani kujaribu kuwaweka wanawake na wanaume kapu moja.
Hakuna maumivu anayopata mwanamke mume wake anapogonga mwanamke mwingine.
Wanaigiza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…