Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?


Hapa ushamaliza kila kitu mkuu uzi ufungwe


Hata wao wanajua haturidhiki na mbususu moja

Waache kukaza shingo waturuhusu tu officially
 
Nawaza sijui nikutumie pesa kdgo kama laki moja au nikuombee dua. Maana umetoa majbu yaliyonyooka na yenye ukweli mtupu. Ukipingana na nature utaumia sana
 
Msingi wa mwanamke kupenda uko katika maumbile ya nafsi au moyo wake. Mwanamume hana uwezo wa kupenda, ndiyo maana amewekewa sheria katika Maandiko, kwamba ampende mkewe. Kwa hiyo, kwa sababu mwanamke ana Roho ya kupenda, ni rahisi kusamehe, kuachilia, kuelewa madhaifu ya mumewe na kusahau makosa yake. "Upendo husitiri wingi wa makosa". Upendo una tabia ya kutohesabu mabaya. Wanaume tunahesabu mabaya kwa kuwa hatuna asili ya kupenda.
 
Umaskini na utegemezi sivyo wataenda kushika wapi pakuanzia?!

Ujinga pia !
 
Tangu dunia hii iumbwe,
Suala la Mwanaume kuchepuka hata sio habar ya kushangaza,

Wanachoangalia Ni heshima na mahitaji yake utimize kwa ufanisi na kwa wakati.

Wanawake wote wanaojitambua nadhani hili wanalijua.
Umewapa sifa nzito
 
Mwanamke anakabiliwa na matatizo makuu mawili
1. Uchumi mdogo wa kuendesha maisha
2. Kupata mume mpya ni changamoto

Ukimcheat mwanamke mwenye fedha zake ndio utajua kumbe mwanamke ni hatari Sana linapokuja suala la kucheatiwa!
Hii ni kwa visodokwinyo na visokolokwinyo tu mwanamke ni ameumbwa mwanamke tu.
 
Inahitaji ufafanuzi zaidi iko kifalsafa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…