Kwanini ni rahisi kwa wadada wengi ku-post mtandaoni marafiki zao wa kike, kuliko ku-post wachumba zao au hata waume zao?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,490
Reaction score
10,749
Habarini,

Kuna hii ishu nime-observe kwenye online status za wadada wengi za Whatsapp na insta..

Naweza sema 80% ya wadada ninaofahamiana nao kikazi, waki-post watu, sana sana wana-post rafiki zao wa kike kwenye Whatsapp status, unakuta wanapost wanapata dinner na rafiki zao wa kike kwenye mgahawa ya ghali kidogo k.v kfc, wana-post wako vacation na rafiki zao wa kike, wana wish happy birthday to their female friends wengine hadi wananunuliana zawadi za u-bff, wananunuliana chakula, perfume, etc

Siamini kama hao wadada wote wanao-post hivyo ni kwamba wako single..najiuliza aren't they proud of men they are dating au?

Does it mean they are proud of their female friends, kuliko walivyo proud na waume zao 🤔🤔
 
U 're just a tool to them, a means to get money and accomplish their life style.
 
Habarini,

Kuna hii ishu nime-observe kwenye online status za wadada wengi za Whatsapp na insta..

Naweza sema 80% ya wadada ninaofahamiana nao kikazi, waki-post watu, sana sana wana-post rafiki zao wa kike kwenye Whatsapp status, unakuta wanapost wanapata dinner na rafiki zao wa kike kwenye mgahawa ya ghali kidogo k.v kfc, wana-post wako vacation na rafiki zao wa kike, wana wish happy birthday to their female friends wengine hadi wananunuliana zawadi za u-bff, wananunuliana chakula, perfume, etc

Siamini kama hao wadada wote wanao-post hivyo ni kwamba wako single..najiuliza aren't they proud of men they are dating au?

Does it mean they are proud of their female friends, kuliko walivyo proud na waume zao 🤔🤔
Uchepukaji
 
Mke wangu kashakataa kunipost sura yangu inatisha viwer
Macaca_nigra_self-portrait_large.jpg
 
Habarini,

Kuna hii ishu nime-observe kwenye online status za wadada wengi za Whatsapp na insta..

Naweza sema 80% ya wadada ninaofahamiana nao kikazi, waki-post watu, sana sana wana-post rafiki zao wa kike kwenye Whatsapp status, unakuta wanapost wanapata dinner na rafiki zao wa kike kwenye mgahawa ya ghali kidogo k.v kfc, wana-post wako vacation na rafiki zao wa kike, wana wish happy birthday to their female friends wengine hadi wananunuliana zawadi za u-bff, wananunuliana chakula, perfume, etc

Siamini kama hao wadada wote wanao-post hivyo ni kwamba wako single..najiuliza aren't they proud of men they are dating au?

Does it mean they are proud of their female friends, kuliko walivyo proud na waume zao 🤔🤔
Hahahaha,ila sie wanaume huwa tuna wapost..
 
Back
Top Bottom