Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
sasa kama hana dini kwa nini wanajazana majumba ya ibada na misikitini ?Mwanamke hana dini.
Mwambie moderator asafishe title
Wewe leo ujiite nabii, kuhani au hata Mungu kesho hao wamejaa mlangoni pakosasa kama hana dini kwa nini wanajazana majumba ya ibada na misikitini ?
wanawaza kihisia zaidi...
ndio maana ni rahisi mkiambiwa vitu kihisia ila kimantiki hamvielewi kabisa nyie na vitu vyakimantiki ni kas na kus!Kumbe
ndio maana ni rahisi mkiambiwa vitu kihisia ila kimantiki hamvielewi kabisa nyie na vitu vyakimantiki ni kas na kus!
hata hapa unabisha...🤣Mmh
Labda.
hata hapa unabisha...🤣
we ni kabishi tu kaasili!Nabisha si kweli.
Hapana unanisingizia.we ni kabishi tu kaasili!
Mwanamke hana imani, ameamuliwa kufuata na kuongozwa na mwanaumeWanawake ni aslilimia kubwa unaweza kuingia kimahusiano kwa njia ndogo ya imani zao mfano ukimwambia nitakuoa yani hapo umemvuruga kabisa.
wengine imani zao wanaamini wanaume wenye imani zao ni watu wa kuwaamini haraka kule wale ambao sisi kama kikundi cha shetani.
Kipindi nipo tanga yani wakikuona unataja vifungu ya haya kwenye imani kuhusu wao kwa mwanaume yani wanaweza kupanga foleni utazani shindano la BSS.
Huku kwa walokole na makanisani yani ukismama mazabauni ukasema unataka mke wa kuoa nao unaweza kusema kuna usaili wa maombi ya kazi watakavyo kuja.
ohoo! hao ni vichwa maji...Hapana unanisingizia.
Kuna wale me akiudhika kidogo tu ngumi hiyo hivi nao wanatumia hisia au logic🤣
ohoo! hao ni vichwa maji...
HaituhusuWanawake ni aslilimia kubwa unaweza kuingia kimahusiano kwa njia ndogo ya imani zao mfano ukimwambia nitakuoa yani hapo umemvuruga kabisa.