Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wanawake ni aslilimia kubwa unaweza kuingia kimahusiano kwa njia ndogo ya imani zao mfano ukimwambia nitakuoa yani hapo umemvuruga kabisa.
wengine imani zao wanaamini wanaume wenye imani zao ni watu wa kuwaamini haraka kule wale ambao sisi kama kikundi cha shetani.
Kipindi nipo tanga yani wakikuona unataja vifungu ya haya kwenye imani kuhusu wao kwa mwanaume yani wanaweza kupanga foleni utazani shindano la BSS.
Huku kwa walokole na makanisani yani ukismama mazabauni ukasema unataka mke wa kuoa nao unaweza kusema kuna usaili wa maombi ya kazi watakavyo kuja.