Kwanini ni Simba VS Yanga na sio Yanga VS Simba

Kwanini ni Simba VS Yanga na sio Yanga VS Simba

Simba ni jina jepesi zaidi ki brand kuliko yanga
Hadi Sasa bado huwa Kuna shida ya mtu kujua asema Yanga au Young hii pekee hupelekea aanze na chepesi kuja kigumu
NB:siku ukianzisha kampuni na ukataka isambae weka jina jepesi kama alivyo Azam ,coca,peps ,BBC , CNN n.k
 
Jina la mtoto ndo linaanza alafu linafuata la baba. Mfano juma ally, juma ni mtoto na ally ni baba. Hivyo basi simba ni mtoto na yanga ni baba.
 
Hivi jina halisi la Yanga na Yanga Africa au Younger African.
Naomba mnijuze wajumbe
 
Wewe kwa nini hujiulizi wanandoa inaanza kutajwa mke then mume yaan kwenye story utaskia wale ni mke na mume.

Nazan ni masuala ya linguistics
jiulize pia kwa ni wanaanza na baba inafuatiwa na mama yani baba na mama
 
Back
Top Bottom