matemabi
Senior Member
- May 2, 2017
- 113
- 145
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja swala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja simba kisha Yanga.
Yani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.
Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app