Kwanini ni vigumu kupata Hotuba za Hayati E.M.Sokoine?

kumbe hujuma kwa wamasai hazikuanza leo wala jana sasa nimeelewa kwanini rais hawazi kutoka huku........
 
Wale waliokuwa wanaomba aondoke duniani hawakufurahiya hotuba zake na alikuwa mtendaji mzuri kama Rais Dr Magufuli, pili kati ya maadui wa Sokoine ambao walitaka kwa udi na uvumba kuwa Rais wa Tanzania nao pia walikutana na kigingi cha Muumba! ndiyo maana waswahili husema malipizi ni hapahapa duniani!
 
,
 
Zipo nyingi ila zimetunzwa kwenye labrary ya familia huko monduli nyumbani kwake, Kwa msaada unaweza kuwasiliana ndugu Joseph sokoine pale wizara ya mambo ya nnje atakusaidia kuzipata hizo cd
 
Ana hotuba zipi?

Thubutu wakati wa Nyerere ujidai una hotuba zaidi yake.
 
Cha kushangaza natafuta hotuba za awali za Ali Hassan Mwinyi, hususan zile mbili za mwanzo alizoongea na wazee wa Dar. Sizipati.

Kwanini zimeyeyushwa?
 
Zipo nyingi ila zimetunzwa kwenye labrary ya familia huko monduli nyumbani kwake, Kwa msaada unaweza kuwasiliana ndugu Joseph sokoine pale wizara ya mambo ya nnje atakusaidia kuzipata hizo cd
Asante sana mkuu.
 
Leo kumbukumbu yake. Tulihitaji kusikia hotuba yake! Inauma kuna vijana wengi hawajawahi kusikia sauti yake. Lakini wamewahi kusikia sauti ya Jim Liivuz, Wendo Kolosoy, Bob Maley, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…