longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
kumbe hujuma kwa wamasai hazikuanza leo wala jana sasa nimeelewa kwanini rais hawazi kutoka huku........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliokuwa wanaomba aondoke duniani hawakufurahiya hotuba zake na alikuwa mtendaji mzuri kama Rais Dr Magufuli, pili kati ya maadui wa Sokoine ambao walitaka kwa udi na uvumba kuwa Rais wa Tanzania nao pia walikutana na kigingi cha Muumba! ndiyo maana waswahili husema malipizi ni hapahapa duniani!Nilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza kumbukumbu hapa JF nao pia walinikalia kimya (hawakunijibu mpaka sasa).Pia niliwahi kuanzisha uzi hapa kununua hotuba hizo nikawashirikisha ma'moderators, lakini wapi hakuna nilichopata. Ninauliza hotuba za mzalendo huyu wa Tanzania zilifungiwa kusikilizwa, kusomwa hapa nchini kama mziki wa 'Segere' ama kitabu fulani cha mwandishi ....Hamza Njozi (Mwembe'tea'.....!!!)?
Kama zilifungiwa naomba majibu ili niache kujisumbua kuzitafuta, maana mimi na vitu visivyohalali hatuendi pamoja!
Nilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza kumbukumbu hapa JF nao pia walinikalia kimya (hawakunijibu mpaka sasa).Pia niliwahi kuanzisha uzi hapa kununua hotuba hizo nikawashirikisha ma'moderators, lakini wapi hakuna nilichopata. Ninauliza hotuba za mzalendo huyu wa Tanzania zilifungiwa kusikilizwa, kusomwa hapa nchini kama mziki wa 'Segere' ama kitabu fulani cha mwandishi ....Hamza Njozi (Mwembe'tea'.....!!!)?
Kama zilifungiwa naomba majibu ili niache kujisumbua kuzitafuta, maana mimi na vitu visivyohalali hatuendi pamoja![/QUOTE zipo nyingi ila zimetunzwa kwenye labrary ya familia huko monduli nyumbani kwake, ila Kwa msaada unaweze kumuona ndugu Joseph sokoine pale wizara ya mambo ya nnje atakusaidia ni MTU mstaabu sana
Zipo nyingi ila zimetunzwa kwenye labrary ya familia huko monduli nyumbani kwake, Kwa msaada unaweza kuwasiliana ndugu Joseph sokoine pale wizara ya mambo ya nnje atakusaidia kuzipata hizo cdNilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza kumbukumbu hapa JF nao pia walinikalia kimya (hawakunijibu mpaka sasa).Pia niliwahi kuanzisha uzi hapa kununua hotuba hizo nikawashirikisha ma'moderators, lakini wapi hakuna nilichopata. Ninauliza hotuba za mzalendo huyu wa Tanzania zilifungiwa kusikilizwa, kusomwa hapa nchini kama mziki wa 'Segere' ama kitabu fulani cha mwandishi ....Hamza Njozi (Mwembe'tea'.....!!!)?
Kama zilifungiwa naomba majibu ili niache kujisumbua kuzitafuta, maana mimi na vitu visivyohalali hatuendi pamoja!
Mmasai alipotezwa kama alivypotezwa Aboud Jumbe pale Kigambooni
Hapa bado alama Mohamed Said na Ritz kuchangia..Ana hotuba zipi?
Thubutu wakati wa Nyerere ujidai una hotuba zaidi yake.
Kwa taarifa hii...Moderator naomba msaada wa kufuta uzi huu...!! Sina mpango wa kusigana na vyombo vinavyohakikisha sheria inafuatwa. Asante GENTAMYCINE, nakuchukulia kama msamalia mwema.
= msamaria
Asante sana mkuu.Zipo nyingi ila zimetunzwa kwenye labrary ya familia huko monduli nyumbani kwake, Kwa msaada unaweza kuwasiliana ndugu Joseph sokoine pale wizara ya mambo ya nnje atakusaidia kuzipata hizo cd