Habari wanandugu,
Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja
Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
Hiyo kazi ni connection,hata mimi kuna jamaa kaniweka pending toka mwaka jana ni muhusika wa sehemu fulani, sasa imagine kama Boss kaniwek pending je kuna watu wangapi kabla yangu wanasubiri au amewaweka