Ni nini hicho??
..ni kikundi cha vijana chenye kauli mbiu ya " make Tz great again. "
..hao vijana kazi yao ni kumsifia na kumtukuza Jpm kwa kila jambo analisema au kulifanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini hicho??
Ndio ulipogota hapo. Yaani mimi nipimwe na wewe ndio mwerevu, hao unaofikiri hawamwandami bado wanalialia kuhusu issue ya Mwl Nyerere Dam, kisa tutapata umeme wa nafuu na wa kuweza kuendesha viwanda nchini. Kama hulioni hilo basi wewe una matatizo binafsi. Kuhusu transaction ni zipi hizo? Tanzania ni unique, tupo top 4 kwenye utalii Africa then wewe unafikiri we do not matter. Hiyo shule uliyokwenda kusoma sijui ulisoma nini? USA na UK waliwasihi raia wao wasiende Tanzania kwa kuhofia ebola leo hii wanaondoa bila kukiri kwamba walikosea. Kuna mambo mengi sina haja ya kurudia rudia hii ni vita ya uchumi kati ya Tanzania ie black African country na wenzetu weupe.
Dangote anajuta vibaya !..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions.
South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu?
Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.
Hata bidhaa wanazotengeneza sijui zinauzwa wapi !And presumably ndio wanaowezesha viwanda vitatu kujengwa kila dakika. Kwa mujibu wa data zilizotolewa majuzi. Na viwanda au biashara hizo zinazotokana na wawekezaji hao wanaopishana TIC zinatumia teknolojia isiyohitaji waajiriwa.
Nakubaliana nawe.
..ni kikundi cha vijana chenye kauli mbiu ya " make Tz great again. "
..hao vijana kazi yao ni kumsifia na kumtukuza Jpm kwa kila jambo analisema au kulifanya.
Kundi la wajinga na wapumbavu kwa hapa Tanzania linapatikana CCM tu, Rais wa ajabu kuwahi kutokea anashabikiwa na wapumbavu na wajinga wa Tanzania hii...hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions.
South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu?
Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.
Mbumbumbu la kutupwa ktk ubora wakoUchumi umekua kwa 7.2%, mambo makubwa yanazinduliwa, umeme wa uhakika kutoka Stigler George, SGR ya mwendo kasi inayotumia umeme, raia walioelimika kwa elimu ya bure.....wawekezaji hawana sababu za kutowekeza Tanzania, acheni ngojera.
Cha msingi ni kuwa, hamna unyonyaji tena, wanaokuja lazima wakubali kula na Watanzania kwa mgao wa pasu, sio kuchmba madini na kuondoka nayo.
Kundi la wajinga na wapumbavu kwa hapa Tanzania linapatikana CCM tu, Rais wa ajabu kuwahi kutokea anashabikiwa na wapumbavu na wajinga wa Tanzania hii.
Hakuna investor anayeweza kuja kuwekeza hapa kwenye Serikali isiyo na rule of law, kichaa mmoja ndo mwenye uamuzi wa kila kitu na bahati mbaya ni kichaa na zero brain
Wataje hao wezi walioshirikiana na viongozi wenu,usipo wataja wewe ni mataga
Very funny if not ironical. However, it is an open fact that the foreign direct investment has declined dramatically in the past four years. 😢😢😢Nenda pale TIC uone jinsi wawekezaji wanavyopishana.
P
Dah, ila bado taifa lina watu wajinga sana pamoja na shule mlizoenda. Ni hatari kuwa na watu wanaofikiri katika namna kama yako mkuu.
Na je malaria nayo imeletwa na nani? Maradhi ya Moyo, tezi dume, kifua kikuu, kipindupindu nk yote yameletwa na wazungu????
Kuna watu hawajui maana ya unachokiongeaa hata kidogo maono mapana hawana ndio maana watu wananafasi kubwa serikalini hila wanafanya upuuzi kama vibaka wa mitaanii kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa Sahizii watu ni mwendo wa kuropoka tuu from nowhere bila kuelewa dunia ishakua kijiji wanalicost sana hili taifa na Afrika kwa ujumlaaa...hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions.
South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya aina hiyo South Africa itakuwaje kwetu?
Wake up ccm! Well; kama ccm hii inaona kina Bashite ni viongozi basi we are doomed as a nation.
Dunia ya leo haifikiri hivyo! Weka ushahidi kwamba wewe ni "more schooled" kuliko? Kwa vyovyote vile, najiskia aibu wewe kujiweka kwenye kundi la "schooled men".Hayo magonjwa mengine unaongeza wewe ili kujenga hoja yako, mbona huandiki au kupinga nilichoandika? Naona umedandia treni kwa dreva bila kuelewa hoja ilitoka wapi. usiwe na haraka ya kurukia rukia vitu bila kusoma then unaonyesha aina ya shule uliyosoma. BTW I can guarantee you that, I'm more schooled than you.
Wewe huna haja ya kumwamini hiyo ni issue yako. You are a free person, Watanzania tulio wengi tuna imani naye ndio democracy hiyo kama hutaki kajinyonge.
Rubbish!! Huu ni mkusanyiko wa maneno tu, hakuna point. Anaongea vitu asivyovijuaKuna
Kuna mambo lukuki lipokuja issue ya investment, kama kuna watu au kampuni itapata faida kwenye mazingira hayo lazima ifanye investment kubwa tu. Bahati mbaya Tanzania tulikuwa na conman business ambazo ndizo zilitamalaki, kutoka nje na ndani hivyo hatukuwa na genuine investors. Tulikuwa na wezi tu ambazo walisaidiana na viongozi wetu kufilisi nchi. Ukienda middle east, saudia huko hakuna rule of law kama unavyojinadi lakini kuna kampuni kubwa duniani kila leo zinafanya investment kubwa kubwa. Ukienda China pia kuna kampuni toka duniani kote zinafanya investment kubwa sana uko.
Very well argued. Huo ndio ukweli.Kwenye sekta ya maadini ndiko tumeona baadhi ya hao wawekezaji walioitwa wezi. Kwa maoni yangu mikataba ya madini ya mwanzo yaliingiwa katika mazingira magumu; ilibidi kutoa vivutio vikubwa kwa hao wawekezaji. Kiongozi yeyote makini hawezi kushindwa kuona mantiki ya mikataba hiyo kuwa kama ilivyokuwa. Nadhani awamu ya nne ilitambua hilo na hivyo kujaribu kurekebisha pale ilipowezekana. Yapo pia mafanikio yaliyopatikana awamu ya tano lakini nahofia "populist style" iliyotumika imekuwa na madhara makubwa kiuchumi kuliko faida. Takwimu za uwekezaji kutoka TIC zinaonyesha.
Ndio ulipogota hapo. Yaani mimi nipimwe na wewe ndio mwerevu, hao unaofikiri hawamwandami bado wanalialia kuhusu issue ya Mwl Nyerere Dam, kisa tutapata umeme wa nafuu na wa kuweza kuendesha viwanda nchini. Kama hulioni hilo basi wewe una matatizo binafsi. Kuhusu transaction ni zipi hizo? Tanzania ni unique, tupo top 4 kwenye utalii Africa then wewe unafikiri we do not matter. Hiyo shule uliyokwenda kusoma sijui ulisoma nini? USA na UK waliwasihi raia wao wasiende Tanzania kwa kuhofia ebola leo hii wanaondoa bila kukiri kwamba walikosea. Kuna mambo mengi sina haja ya kurudia rudia hii ni vita ya uchumi kati ya Tanzania ie black African country na wenzetu weupe.
Na ndio kitu pekee wanachokiweza. Na naweza confidently kusema kuwa wengi wao hawataelewa hiyo article niliyoileta hapa🤣🤣🤣