Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba..
Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo soma etc.. ni usumbufu usio na maana kwa karne hii.
Watu wa IT NIDA pamoja na serikali, hata kama mnataka kuverify sio kwa maswali kama haya.. mwisho wa siku nakaribisha rushwa maana kama nimesahau nikimpigia mtu nida ananipa majibu nijaze.
Ushauri wangu ondoeni hili kitu, mtu akijaza namba ya nida basi inatosha japo najua mnadhiniti matumizi ya nida za watu wengine. Hiki kitu kinausumbufu mwingi sana kiasi nimeghairi kusajiri biashara yangu baada ya yangi kutokuwa sahihi.