Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unsmzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
mambo ya wazungu haya! huku kwetu uswaziNi hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Huku kwetu unalala na wazazi mpaka uwache kunyonya unahamia chumba cha kina dada au kaka.mambo ya wazungu haya! huku kwetu uswazi
Mkuu fanya mpango ufunge nae pingu za maishaSijafunga nae ndoa kwani Kuna uhusiano gani
Mtoto wa miezi saba bado mdogo sana kulazwa peke yakeNi hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Mtoto ni kama malaika,mki-do hapo mnakua mnazini anawakemea muache. Funga ndoa kisha jaribu tena uone kama ataamka na kuliaSijafunga nae ndoa kwani Kuna uhusiano gani
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Chumba chake kwa mtoto mchanga??Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu