skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,383
Hahhaaa umetisha aiseeNi hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu