Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Naomben mfaham, ngono nisuala la Roho.

Hujiulizi kwann mkeo akiwa namimba..wee mwanaume unaweza kua Dalala za mama mjamzito utadhan we ndo unamimba!???.

Ngono ni suala la Kiroho ,na mnavyokutana nawatu ovyo ovyo mjue mnaondoka an roho zao.
But uyo ni mzazi mwenzie mkuu...
 
Dah....hiyo mionzi ya redio si mizuri kwa ukuaji wa ubongo was mtoto...[emoji41]
Risks to Baby's Brain Development From Cell Phone Radiation – RF (Radio Frequency) Safe
Zinatengenezwa special za watoto
1537678128424.jpeg
 
Zinatengenezwa special za watoto
View attachment 875011
Huku mbali sana,kwa nn ujisumbue kiasi hiki!?? Mama akibeba mimba inachukua miezi 9 mpaka kujifungua. Ni muda mzuri sana wa kujipanga kuhakikisha haya hayatokei. Watanzania wengi hawajui kuwa mtoto tangu siku ya Kwanza anazaliwa anazaliwa na akili zake. Mtoto hata aliye tumboni akiwa amekamilika,yaani miezi 7 mpaka 9,kuna vitu anaweza kusikia vinavyoendelea Duniani na anaweza kukariri.

Kama mtu haamini,afanye jaribio km ana mke mwenye mimba ya miezi 7 na kuendelea. Mke akikaa akatulia,aweke mziki anaopenda,huo mziki awe anausikiliza kila wakati,mpaka atakapojifungua. Mtoto ataukariri huo mziki na atakuwa anaulilia,akiusikia tu ananyamaza.

Tangu siku mama anajifungua, akae chumba chake na mtoto,na atakapohitajika na Baba aende chumbani akasuzwe then anaenda kulala na mtoto!
 
Back
Top Bottom