Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Maswali mawili mkuu
1:- unauhakika huyo.mtoto ni wako ?

2:- unatakiw kuanza kupga wakat mtiti ameanza kulala
 
Acha uonevu... Ulimfinya malaika jamani... Ukute kitanda chenu hakitulii
 
Una ngoma mtoto anaoteshwa unamuua mama ake .Please nenda kapime .I put one hundred percent in every word that I have written
Una wazimu wewe sio bure
 
Mkuu nimekupata sana hii nadhani IPO kisayansi kuhusu typing error hakuna ila pia free basics INA sehemu ya Ku edit usjali
 
Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Achana na hii kitu, mtoto anatakiwa chini ya miaka 2 unatakiwa ulale nae haswa wa kiume ili uwe unamwona msumari kama unasimama mida ya alfajiri, hafu na yeye inampa hamasa akiamka anashikwa na wazazi wake, kumuacha alale peke yake below 2 yrs siafiki
 
Ana chumba/ kitanda chake?
 
Mkuu kwa haya maisha yetu ya kiembe mbuzi kila kitu chumban na chumba chenyewe kimoja daah kweli kuishi stoo taabu
Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…