X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Umeibiwa pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan mna room moja? pigia hata kwenye makochi, muache chumbani. au akilala mnashuka chini sakafuni.Kwakweli naudhika sana naombeni msaada bila hivyo naweza pitisha mwezi cjamlala mke wangu
duuuhh!!!bora huyo anaamka na kulia tu ukikakuta ka kubwa kubwa kama mwaka hivi huwa kanachungulia kabisa maeneo
Wazungu wanaweza kukarukia machoni.bora huyo anaamka na kulia tu ukikakuta ka kubwa kubwa kama mwaka hivi huwa kanachungulia kabisa maeneo
Baba yupi tena? mbona kama uchochezi!!Hebu jaribu kumuuliza 'mke wako' kama pia hali hii hutokea wakati akiwa na baba yake!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38] [emoji38] [emoji37] uta mpa pressure browSio mwanao huyo
Una Tangaza biasharaZinatengenezwa special za watoto
View attachment 875011
Sasa kama anakuona unanyonya maziwa ambayo ndo msosi wake, asilie.Kwakweli naudhika sana naombeni msaada bila hivyo naweza pitisha mwezi cjamlala mke wangu
Mkuu nimekupata sana hii nadhani IPO kisayansi kuhusu typing error hakuna ila pia free basics INA sehemu ya Ku edit usjaliKinachosababisha aamke ni harufu ya maziwa,Harufu ya maziwa inafanana na harufu ya maji maji yanayopatikana katika mtumbo la uzazi, so mtoto anapozaliwa anakua amezoea hiyo harufu kiasi kwamba anaweza akawa amelala usiku upande mwingine wa kitanda ila akatafuta ziwa la mamake na akanyonya Hii inahusikaje na tatizo lako, Unapokuwa una mnaniliu mkeo huwa anasisimka maeneo ya maziwa, hii hupelekea kutoka ute ama maziwa kwenye chuchu ambapo harufu yake inamuamsha mtoto haswa nyakati za usiku kipindi ambacho watoto wengi huwa na njaa.. Natumia freebasics so kama kuna typing errors natanguliza samahani...
Achana na hii kitu, mtoto anatakiwa chini ya miaka 2 unatakiwa ulale nae haswa wa kiume ili uwe unamwona msumari kama unasimama mida ya alfajiri, hafu na yeye inampa hamasa akiamka anashikwa na wazazi wake, kumuacha alale peke yake below 2 yrs siafikiNi hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Ni hali tu ya maisha lakini mtoto anapozaliwa anapaswa kuwa na chumba chake. Unamzoesha routine ya kulala na unamuwekea radio call pembeni akilia unamsikia kutoka chumbani kwenu
Na kuna wanaotamani lini watapata hata hiyo storeMkuu kwa haya maisha yetu ya kiembe mbuzi kila kitu chumban na chumba chenyewe kimoja daah kweli kuishi stoo taabu