Mkuu wewe si ki.laza wala mtoto kama watu wanavyokukejeli. Kuuliza si ujinga hasa kwa kitu usichokifahamu.
Huyo mpenzi wako yuko sawa, afya yake iko vizuri kabisa, si jambo la kuhofia. Kutokwa kwa hayo maji maji meupe ni suala linaloelezeka kibaolojia.
Hayo maji mazito meupe yanaitwa 'virginal discharge'. Mara nyingi hutokea pale mwanamke anaposisimka wakati wa tendo hasa kipindi ambacho yupo katika 'ovulation'. Haya maji maji meupe mazito hutofautiana kulingana na stage ya ovulation aliyopo, umri, homoni za kike, pamoja na kiwango cha msisimuko. Hayo maji maji pia yanaweza kua na harufu ya uke hasa akiwa stage ya mwisho ya ovulation na rangi ikawa kama cream hivi.
Pia maji hayo yanaweza kutokana na 'single/multiple orgasm' tofauti na sisi wanaume tunaotema 'sumu kali kama koboko' wenzetu wa kike akiwa ktk orgasm mishipa ya 'uterus - mfuko wa uzazi' na mishipa ya uke inapanuka damu ipite hadi eneo la pelvis apaka kwenye 'clitoris', katika hiyo process maji maji hutoka kwenye uke pamoja na makamasi kutoka kwenye tezi 'gland'.
Wala usiwe na tabu. We kula mzigo baba tena ******** keshasema fyatua hata watoto 10. Na huku mjini vijana walivyo 'mcharo' wanapiga deki hayo maji bila hofu - ndo raha ya mapenzi.