dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Hiyo ndio sababu wanajua hawawezi achwa hata akiona demu wake yupo na njemba nyingine.Mkuu unawezaje kuhimili stress zote hizo
Yanga na Aseno???
Nakumbuka nilikuwa Form I enzi hizo... shabiki lia lia wa Yanga! Kama kawaida, Jmosi fulani nimetoka zangu home naenda taifa kucheki mtanange...Mimi ni mpenzi wa hizo timu mbili, nikivaa jezi za timu hizo warembo wanakuja kunipa namba wenyewe, imenitokea mara nyingi sana. Afu mimi kwa sasa nimeokoka sitaki kabisa dhambi, kuna siri gani jamani!?
Ndio mkuu, kama vile wasukuma wasivyoweza kuhama kabila laoMkuu unawezaje kuhimili stress zote hizo
Yanga na Aseno???
Wee hamna hiyoWanajua unauwezo wa kuhandle maumivu.
Yaani wewe ni mvumilivu sana hivyo hata wakikusaliti utasamehe tu.
Hicho ni kitu kingine aiseeHiyo ndio sababu wanajua hawawezi achwa hata akiona demu wake yupo na njemba nyingine
Piga keleleeeeeMwanachama mwenzangu arsenal na Yanga [emoji736]
AhaaWanaustahimilivu kuhimili bughudha, misukosuko, maumivu bila kuhatarisha uhusiano.
Sijafananisha mkuu, nazipenda tuAcha kufananisha Arsenal na vitu vya kijinga yaani vyura[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakumbuka nilikuwa Form I enzi hizo... shabiki lia lia wa Yanga! Kama kawaida, Jmosi fulani nimetoka zangu home naenda taifa kucheki mtanange...
...siikumbuki ulikuwa ni wa timu zipi lakini bila shaka moja wapo ilikuwa Yanga!
Basi bhana...
...ile nafika jirani na Indoor Stadium, nikaona kipande cha gazeti! Nikainama na kukiokota! Enzi zile nilikuwa naokota na kusoma kila ninachokiona! Nina mashaka ikiwa kweli silka hii nimeiacha kwa sasa!
Kipande hicho cha gazeti hakikutoa fursa ya kufahamu ni gazeti lipi, wala tarehe ya kuchapwa kwake! Hata hivyo, ni zamani sana, kwahiyo huenda ikama ama Uhuru, Mzalendo au pengine Mfanyakazi!
Gazeti, ama kipande hicho cha gazeti kilikuwa kinazungumzia timu inayoitwa Arsenal! Ilikuwa ndo mara yangu ya kwanza kuisikia...
...kama nilivyosema, ni zama zile ambazo hata tv zilikuwa bado; labda kwa kina Sheikh Yahya na wenzake, ingawaje home ilikuwepo just for VHC!
Habari ile ilikuwa ni yenye msisimko kweli kweli kwa upande wangu!
Habari iliyokuwa ikieleza udugu kindaki ndaki uliopo kati ya timu hiyo ya London na Dar es salaam Young Africans! Ni raha iliyoje kugundua una ndugu Ulaya!!
Hapo hapo nikayagawa mahaba yangu ya dhati kwa ndugu yangu huyu wa Ulaya! Hadi matangazo ya tv yanaanza kuingia na kuanza kufuatilia soka la UK, ndipo nikaja kumfahamu kwa sura ndugu yangu huyu Mzungu!
Ikawa ikifungwa Yanga chakula hakinogi, akipigwa Arsenal maji hayashuki!
Uzuri, Arseno ile ilikuwa Arseno kweli kweli... Arseno iliyokuwa inaunda ukuta wa Timu ya Taifa ya Uingereza! We acha tu! Sa' unakosaje kwa mfano kuongeza mahaba kwa ndugu wa aina hiyo!!
Leo hii natamani ningemfahamu Mwandishi wa habari ile ili nikamkabili kokote kule aliko na hatimae anieleze kwanini kaniletea mahangaiko yote haya!
Mshenzi yule sijui uzushi ule aliutoa wapi hadi akaja kutusababishia magonjwa ya moyo ya vipindi! Na ujinga wa haya mambo, ukiingia hutoki! Kama ngiri na baridi, au bangi na jua kali!!
Sema duniani kuna Misukule lakini hii ya Liverpool imerogwa na ikarogeka hasa!!! Uzuri hawa nimeanza kuwachukia tangu nipo primary kwa sababu tu kuna Mapaka ya Kariakoo yalikuwa yanijiita eti Liverpool ya Msimbazi... Jinga sana!
Sa' hivi nyie madogo wa 1990's to 2000's ilikuaje hadi mkaambukizwa haya mashipa?! You're U-30, halafu eti shabiki wa Liverpool!! We bhana hata kuoa itakuwa umeingia chaka tu, naapia!! Na kama demu basi hata kuvutia am sure huvutii... mademu wazuri hawana muda wa ku-handle stress!!!
Liverpool imeingiaje? Usiifananishe Liverpool na vitu vya ajabu MKUUNakumbuka nilikuwa Form I enzi hizo... shabiki lia lia wa Yanga! Kama kawaida, Jmosi fulani nimetoka zangu home naenda taifa kucheki mtanange...

Ndio mkuu, kama vile wasukuma wasivyoweza kuhama kabila lao
Hamna ila wasukuma sababu huwa wanasemwa sana, wanatamani wangehamaKwani kuna mtu anayeweza kuhama kabila lake?
Wasukuma wanasemwa sana? Sio kweliHamna ila wasukuma sababu huwa wanasemwa sana, wanatamani wangehama