Nina mchumba ambaye tunategemea kuoana ivi karibuni ila hatujawah kuwa na mahusiano ya Kimapenzi..Nikiwa kwenye menstruation perion, naumwa sana tumbo siku ya kwanza, lakini ikitokea siku iyo nimekutana na mpenzi wangu nikawa karibu naye, maumivu yanaisha kabisa, na akondoka tu ninaanza tena kuumwa.Ivi iyo ni kawaida? na inakuwaje Bilogically? maana nimeshangaa inausianaje?