Kwanini nikiwa na mpenzi wangu?

Kwanini nikiwa na mpenzi wangu?

Babygood

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
11
Reaction score
3
Nina mchumba ambaye tunategemea kuoana ivi karibuni ila hatujawah kuwa na mahusiano ya Kimapenzi..Nikiwa kwenye menstruation perion, naumwa sana tumbo siku ya kwanza, lakini ikitokea siku iyo nimekutana na mpenzi wangu nikawa karibu naye, maumivu yanaisha kabisa, na akondoka tu ninaanza tena kuumwa.Ivi iyo ni kawaida? na inakuwaje Bilogically? maana nimeshangaa inausianaje?
 
mimi sio dokta but yawezekana hilo tumbo linahusana na hamu pia ya sex

so kawaida hamu ya sex hupungua tukiwa karibu na wapenzi wetu hata kama hakuna sex yenyewe
ndo mana uko hivyo
but i could be wrong
 
mie nahisi ni swala la kisaikolojia .....umeitune akili yako ukimuona utapata nafuu na unapata kweli......:eek2:
 
Kwa uzee wangu nilionao sijawahi kusikia hii kitu!!!!!!

Lakini ukichunguza sana, hii imekaa kisaikolojia tu.
 
Ama kweli mna-match. Sasa malizieni hatua inayofuata.
 
duhhhhhhhhhhhh angalia pia na vitu unavyotumia. never use pamba!
 
unakuwa huwazi tumbo unamuwaza yeye aliye mbele yako.

Nguvu ya akili.
 
Duh!! Hii kali na mie hubby wangu anaumwa tumbo huko aliko,sijui niende anaweza akapona!!
 
its a bizzare, it has nthng to do wit ur boy, sasa siku mki Do, c utasema mengne..HAKUNA KI2 KAMA ICHO, REFORMAT UR PSYCHOLOGY SYSTEM.
 
kuna arifu mmoja tulikuwa tunapiga kitu cha b'fast street jombaa kaagiza malimao na ndimu za kuzidi viwekwe kwenye chai yake nika muuliza niaje selaa? Akanijibu wife ana-bendi (mimba) aisee so si unajua tunakuwa na hamu za vitu vichachu.....inawezekana aisee??
 
its more psychological. Anapokuwa karibu unapata raha ambayo ubongo unazidanganya pain receptors kuwa una maumivu..
 
hiyo sijawai kusikia ngoja tusikie experience ya wanawake hapa
 
akaaaa! mapya hayo sijawahi kusikia labda unampenda sana.
 
Back
Top Bottom