Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Ma engineer habari za j2
Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye station tatu (3) tu kutokana na mazingira
1. Total
2. Puma
3. Oryx
Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.
Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta Total yanakaa sana kuliko station zingine, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.
Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.