Kwanini nikiweka Mafuta kwenye hii sheli yanakaa sana? Kuliko nyingine

Kwanini nikiweka Mafuta kwenye hii sheli yanakaa sana? Kuliko nyingine

Sasa unataka yawe yanakaa yasitumike mkuu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways, mafuta ya hizo fuel station ni mafuta premium na sio ordinary kama yale ya oil com, camel au lake oil. Hayo ni yale premium fuel kwa maana kiwango cha juu.

Ukitazama hata bei zao zinakuwa tofauti. Sheri kama Engine, Total, puma, Victoria na moja jina limenitoka mafuta yao huwa ni premium.

Yes Engene wana mafuta mazuri pia.
 
Mafuta ni yale yale ila tofauti ipo kwenye hizo mashine zingine ni chakavu na zingine zina ubora kwa Arusha baadhi ya vituo wana mashine mpya kabisa hapo clock tower,manjis ,Total ya Phillips na Relini hawa jamaa wanakuuzia ulichonunua vituo vingine unauziwa gesi tu kiwango cha mafuta ulichopata sio halisi na pesa uliyotoa...nikiwa na safari naenda kuweka moja ya vituo hivyo naamini hapo safari ipo...
 
Mwenyew najaza mafuta hapo clock tower TOTAL
 
Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.

Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Nawwe wacha ujuaji.

" Haipogo " sio kiswahili sanifu. Kiswahili sanifu ni "haipo"
 
Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.

Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Sheli ni jina sahihi la kituo cha mafuta kwa sasa, jimbuko lake ni ile kampuni ya mafuta ya shell, ambayo ilijulikana sana zamani kuliko vituo vyote vya mafuta. Hata mji mdogo wa KAWE Dar ulitokana na jina la kizungu la COW WAY hii ilikuwa njia ya ng'ombe wa Tanganyika Packers. Kwa kifupi neno katika lugha ni mchambusho wa maneno katika sehemu husika kwa muda ule.
 
unapotaja oryx unachekesha, kwasababu kuna tajiri mmoja namhifadhi ana vituo vya mafuta vingi tu vya jina lake, sikku moja nikaja kufahamu kituo kimoja cha oryx pia ni chake ila anatumia jina tu, kumbe akiagiza mafuta ya vituo vile tena vyenye majina ya kiswahili kabisa, ni pamoja na mafuta ya kituo hicho cha oryx.

kidogo puma labda na total pengine hao wanaweza kuwa na uwezo na depo zao kwasababu wamefranchise na makampuni ya nje kiukweliukweli na wanatakiwa kuoperate kwa standard za hayo makampuni ya nje. nimeanza kuweka mafuta yangu puma na total tu.
 
Even shell additive wanauza shida iko kujua level ya octane inayohitajika kama si ivo utajuta siku yeyote cz lazma kuwa na balance ya ujazo wa wese na additive
Tuelekeze kujua kiasi gani Cha ku-balance ujazo wa Mafuta na Additive ili tusije kujuta
 
Mtambishia Mleta mada lakini mimi nimefanya utafiti mwenye hili na ni kweli kabisa.

Mimi always naweka mafuta PUMA na nilishaacha kuweka mafuta kwingine popote, nilijaribu sana kuweka mafuta Olympic, oryx, Lake oil, na zingine hizi local lakini unakuwa kama umewekewa upepo.

Mafuta yangu minimum huwa naweka lita 10 hadi 40.

Nilijaribu kuchunguza, kwa kuacha taa iwake ndo nijaze mafuta....niliweka lita 10 olympic mara 2....na nilikuwa naenda wastani wa Km 8 hadi 9 kwa lita gari ya Cc 1790. Nikimaanisha baada ya Km 80 gari inawasha taa kwa lita 10 za petrol..

PUMA ltr 10 zikawa zinanipa Km 11.5 kwa lita wastani wa Km 110 Kwa Lita 10...na mpaka leo napata hzo.
 
Na hzo naongelea ni urban trips yaani home to kazini...maana yake sasa naweza kutumia full tank ya lita 60 kutembea zaidi ya Km 650 high way.

Mfano wa trip ya dar to Arusha kwa full tank moja na yanabaki karibu robo..
 
Back
Top Bottom