Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Sasa unataka yawe yanakaa yasitumike mkuu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, mafuta ya hizo fuel station ni mafuta premium na sio ordinary kama yale ya oil com, camel au lake oil. Hayo ni yale premium fuel kwa maana kiwango cha juu.
Ukitazama hata bei zao zinakuwa tofauti. Sheri kama Engine, Total, puma, Victoria na moja jina limenitoka mafuta yao huwa ni premium.
Hamna lolote mafuta yote muagizaji ni mmoja tu yanaagizwa kwa bulk.Unakuta oryx au puma depo imeishiwa mafuta gari zao zinabadilishiwa oda zinaenda pakia Oil com au lake oil na wanakuja wanamwaga kwenye vituo vyao.Sasa unataka yawe yanakaa yasitumike mkuu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, mafuta ya hizo fuel station ni mafuta premium na sio ordinary kama yale ya oil com, camel au lake oil. Hayo ni yale premium fuel kwa maana kiwango cha juu.
Ukitazama hata bei zao zinakuwa tofauti. Sheri kama Engine, Total, puma, Victoria na moja jina limenitoka mafuta yao huwa ni premium.
Hizo additives zinapatikana wapi Tz niwe najiwekea mwenyewe kwenye mafuta ya gari yangu.Mafuta Huwa wanaagiza kwa pamoja kinachowatofautisha ni baadhi ya Kampuni kama Total na Puma wanaboresha kwa kuweka fuel additive.
Hao wengine hawaweki mbwembwe wanauza kama yalivyotoka kwa Mwarabu.
We fala huna hata baiskeliMa engineer habari za j2
Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye sheli tatu (3) tu kutokana na mazingira
1. Total
2. Puma
3. Oryx
Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.
Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta sheli ya Total yanakaa sana kuliko sheli hzo mbili, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.
Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.
Kuweka sawa hoja zako hebu njoo na takwimu zako za matumizi ya mafuta, gari inatembea kilomita ngapi kwa lita moja?
Tuwekee data mkuu. Pia usisahau uendeshaji na mazingira ya barabara kwenye cases zote.Ma engineer habari za j2
Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye sheli tatu (3) tu kutokana na mazingira
1. Total
2. Puma
3. Oryx
Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.
Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta sheli ya Total yanakaa sana kuliko sheli hzo mbili, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.
Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.
Tuwekee data mkuu. Pia usisahau uendeshaji na mazingira ya barabara kwenye cases zote.
Puma (Ulivyokua BP) zamani siku hizi hakuna kitu...
Total yes yanakaa haswa...